yamoyoni mwangu
Senior Member
- Oct 25, 2013
- 106
- 31
Miaka minne iliyopita...., rafiki yangu kipenzi alipata msala ambao mpaka leo hii umemuharibia kabisa future ya life lake...! nakumbuka kipindi hicho tulikuwa tunasoma shule moja ya advance......sasa katika harakati zake akawa amekumbana na mdada mmoja aliye onyesha dhahiri shairi kuwa alikuwa amempenda jamaa yangu....
Basi bwana yule mdada alikuwa hasomagi.... yeye alikuwa kitaa cha pili kutoka shule tuliyokuwa tunasoma....kadadaa akawa anamletea jamaa msosi kila weekend.... yaan yeye kande la boarding likawa story tuu alikuwa haligusi kabisa.... bas jamaa akawa anatoroka night anakwenda kwao na yule manzi anazama kwa gheto lake....(manzi alikuwa na chumba chake cha nje kabisa) mimi kama rafiki yake nikamsihi sana ajaribu kupanga time table kwa poa afanye yake mchana bt usiku sio poa... nilifika uamuzi huu baada ya kuona jamaa nikimwambia aachane na yule kadadaa, anachukia na anasema namuonea wivu....mbaya zaidi akawa anamwambia yule mdada ushauri wangu.... yule mdada akaanza kunichukia sana mpaka akanifanya mm na rafiki yangu kipenzi tukosane kabisa....KILA MTU AKAWA ANAFANYA YAKE.....
Bas baada ya kama miezi miwili hivi.... kukatokea bonge la msala kwa shule pale.. usiku kama saa 8 hivi ikawa imengongwa kengele ya dharula yakawa yameitwa majina jamaa pamoja na washikaji kama nane hivi wakawa hawapo kwa shule.... bas asubuhi kukawa na bongee la msala.... kwani head wa sikuli akawa amewamaind kinoma washikaji .... then baadaye wakawa wamepewa (paa) basi kuuliza kosa ni nn..... daa kumbe night ile kuna fujo zilitokea kwenye ukumbi mmoja wa disco jamaa mmoja akawa amechomwa mkas kwa tumbo... sasa wakaanza kufatilia kujua ni nan aliyemchoma tetes zikaonesha kabila ya tukio hilo kulikuwa na kutoelewana kati yake na jamaa mmoja ambaye ilisadikika ni mwanafunz wa shulen kwetu.... msala ukaanzia pale... wakaanza kuwasaka wanafunzi wote waliokuwemo mule.... bas baada ya kumukosa ikabidi info zimfikie mzee wa kaya(head master).... ndo akaamuru kengele ya dharura ingongwe....
bas jamaa angu na hao raia nane wakapewa paa kupisha uchunguzi... wakaambiwa mpaka bodi ya skul itakapokaa.... jamaaa akawa amerudi kwa home.... huku nyuma yule mdada ikasadikia ana mimba ya msela wangu.... bas shangazi ake akawa amemuleta kwa skuli... jamaa kutafutwa ikaonyesha ni miongoni mwa washikaji walipewa paa... bas ikabidi mdada wambane vizuri... akafunguka A-Z (wadada hawa we waone tu hivi....) akawa amenitaja mm kama rafiki yake na jamaa bas nikawekwa stick za kutosha coz me nilikana kumufahamu yule mdada... baadaye wakawa wanashauriana pale wasiburi baada ya wiki mbili aje tena jamaa atakuwa amerudi.... bas nisiwachoshe sana kifupi baada ya kurudi jamaa akakuta msala mwingine tena mbaya zaidi kumbe kwao binti walikuwa wanamjua vizuri.... wakamukabidhi mzingo wake tayari akawa mwana ndoa...... bas kama ujuavyo tanzania yetu.... msala ukabaki kwenye hatima yake na shule.... baada ya mzee wake kulialia kwa mkuu wa kaya(master) akaambiwa atakuja kufanya mitihani tuuu...zaidi ya miezi nane akawa kwa home.... huko home akawa anafanya vibarua ili amtunze mkewe huyo...nilikuwa naumia sana nikirudi likizo namkuta jamaa anakomaa na kitaa hana hata muda wa kusoma....
Bas jamaa akaja kufanya pepa na at the end hakufanya poa.... akaanza kutumia chet chake cha o-level ku apply grade A mara mbili mfulululizo akawa amekosa kwa bahati nzuri mwaka huu ndo amepata chuo kimoja ndo anasoma UALIMU WA CHEKECHEA....! hayo ndo yaliyomkuta rafiki yangu kipenzi.... sasa hivi anaitwa baba fulan daa... ana watoto wawili....one day atakuja kwenye jukwaa hapa atawaeleza nn kilimpata baada ya Kuwepo mtaan kwa kitambo, madogo walikuwa wanamchukuliaje, jamaana ndugu vipi.... wanalisemaje hilo....I"M DONE
MWENYE MASIKIO NA ASIKIE.....especially u students....