Mtoboasiri
JF-Expert Member
- Aug 6, 2009
- 5,100
- 1,955
....kuwa kuanzia sasa natulia na mpenzi wangu ndipo wale uliowatokea na wakakutolea nje wanajileta wenyewe? Aaagh!
we all want what we don't have..
Kula mzigo...
....kuwa kuanzia sasa natulia na mpenzi wangu ndipo wale uliowatokea na wakakutolea nje wanajileta wenyewe? Aaagh!
Dah! umenichekesha sana mkuu, hujawahi ona umeomba kazi mahali, unapoitwa kwenye interview unashangaa mara kazini kwako kwa sasa mara wanataka kukupromote, mara kuna sehem uliomba kazi kitambo wakawa kimya wakati huo na wao wanakuita mradi tu kufanya maamuzi yayumbe......

Nimejionea mwenyewe ukweli uliouleta hapa!
Kweli aisee, full mitihani.
....kuwa kuanzia sasa natulia na mpenzi wangu ndipo wale uliowatokea na wakakutolea nje wanajileta wenyewe? Aaagh!
Ndio maana inabidi ujifunze mbinu za kutokea pasipo kukataliwa...
Best tuition ya hizo mbinu inapatikana wapi?
Best tuition ya hizo mbinu inapatikana wapi?
Hahaha tutaongea chemba ila sio hapa...
Ila hii makitu ni spesheli kwa sisi wenye vining'inio lol...
Ohooo..Nimeelewa...
Sisi wenye vibandiko tukae pembeni...
Nadhani inabidi kuwe na theory ya kuelezea hii kitu. Mimi pia huwa nashangaa.. wakati nikiwa nimesimama kando ya barabara naongea na mtu, au natembea tu kufuata barabara, magari huwa machache. Ila nnapotaka kuvuka, ghafla magari husongamana na vurugu huongezeka mradi tu kufanya maisha yawe magumu! we jaribu kuchunguzaDah! umenichekesha sana mkuu, hujawahi ona umeomba kazi mahali, unapoitwa kwenye interview unashangaa mara kazini kwako kwa sasa nao wanaanza kutaka kukupromote, mara kuna sehem uliomba kazi kitambo wakawa kimya wakati huo na wao wanakuita mradi tu kufanya maamuzi yayumbe......