Ndoa

Yegoo

JF-Expert Member
Nov 14, 2012
1,424
503
Habari/ wanajf, natumai muwazimaa!

Naitaji mawazo yenu kunusuru ndoa hii ya kaka yangu iliyodumu Miaka 13,shemeji yangu alifumaniwa wiki iliyoisha na akapewa kichapo na akakimbilia kwa Mama yake!!

Jana mida ya saa mbili kaka yangu kanitumia sms kuwa Asubuhi ya leo mkwe na mkewe wanakuja kwake ili kutatua hili tatizo.Kufika asubuhi mama mkwe naye kanipigia simu kuniomba niwepo maana hana Iman na kaka yangu kwani keshawatumia sms nyingi za vitisho.
 
bora ya shetani umjuaye kuliko Malaika unayemsikia.umemfumania bado kuna maongezi? Mikwara ya nini sasa? nasikia harufu ya damu nasikia harufu ya kifo,kakayo bado anapenda hapo.
Nalog off
 
Kaka yako ana umri gani na wewe una umri gani?

Mkwe hamuamini kaka yako anakutaka wewe, wewe ndio umeoa? Mpaka sasa wewe uko upande wa kaka au shemeji?

Hilo fumanizi likikuwa live au la kuambiwa? Alifumania mkewe akigegedwa au akitongozwa?
 
Aisee hayo maswali naona kama kunatupoint humu kaka mama mkwe hamuamini mkwewe kwanini alimkabidhi mwanae?.......... haya ngoja ajibu tuone
 
Mi naamini usuluhishi wa mgogoro wa wanandoa unaohusiana na mafumanizi hufanywa na wanandoa wenyewe tena kwa siri baina yao. Mfumaniaji hulazimika kusamehe na kusahau. Tatizo kama hili likishafika kwa mtu wa tatu ujue majeraha huwa hayaponi.

İmajin huyu kaka mtu amsamehe mkewe mbele ya mdogo mtu.... Familia nzima ya upande wa kiumeni watamwona mme bw.ege Maisha gani hayo.
 
Bro wako anaenda kuwa Ufoooo trust me, na ameshatoa msg ya vitisho.. pananukia damu hapa
 
Mi naamini usuluhishi wa mgogoro wa wanandoa unaohusiana na mafumanizi hufanywa na wanandoa wenyewe tena kwa siri baina yao. Mfumaniaji hulazimika kusamehe na kusahau. Tatizo kama hili likishafika kwa mtu wa tatu ujue majeraha huwa hayaponi.

İmajin huyu kaka mtu amsamehe mkewe mbele ya mdogo mtu.... Familia nzima ya upande wa kiumeni watamwona mme bw.ege Maisha gani hayo.

asante sana Asprine kifupi ni kwamba mimi nina miaka 28 na kaka ana miaka 38!!!,, kuhusu fumanizi hawakuwa ktk tendo!! na upande wa mama mkwe kuniamini!!! kuna kipindi iliwahi kutokea migogoro kwenye hiyo familia na hicho kipindi nilikuwepo!!! nikashilikishwa kutoa maoni!! kati ya mambo niliyoyatoa yalizaa matunda!!!,,
 
Last edited by a moderator:

Nalo neno inaonyesha huyo mwanamke alikuwa anataka kuachika tu,kama kweli ilikuwa bahati mbaya kile kipondo angeshukuru na asingethubutu kukimbilia kwao sasa kwa mama mama yake alieleza sabab ya kupewa kichapo na mama mkwe anaenda kusuluhisha nini wkt mtoto wake ni kicheche na aibu iko kwa mama na mtoto wake,kwa jinsi ninyoona hapo kama kaka amewatumia vitisho maana yake anamwita mdogo wake aje ashuhudie jinsi watu wanavyokatwa mapanga hakuna jingine!
 
naona UMEkuwa MSHENGA....muulize Bro hajawahi kuchombeza pembeni na KUMCHOJOA dem nguo bila kufumaniwa...endapo ndio bac amsamehe....Ujue BRO ako now days hachajishi vya kutosha...HAPELEKESHI MASHAMBULIZI ka zamani na pia mfuko umepwayaaaaa
 
Sasa tuambie ni fumanizi gani hilo kama hakukuwa na tendo?

Mi nakushauri mambo ya ngoswe mwachie ngoswe mwenyewe. Mama mkwe hana adabu, kama aliona inatakiwa mahakama ya İCC, mshenga ndie anapaswa kuwa mwendesha mashtaka.
 
Last edited by a moderator:
ni kweli fumanizi la wanandoa hulimaliza wao!!!ila pia hutegemea na mhusika mmoja kalipokea je tatizo!!! binafisi siegemei popote!! bali ni Ushauri wa KUSAMEHEANA!!
moja ya maamuzi ya kaka ilikuwa ni kwamba aoe atafute mwanamke kipindi hiki!! nikwamwamba hapana!!! je huyo mwanamke umeshamwandaa au ni kuokota BORA mwanamke!!!
 
Nalo neno inaonyesha huyo mwanamke alikuwa anataka kuachika tu,kama kweli ilikuwa bahati mbaya kile kipondo angeshukuru na asingethubutu kukimbilia kwao sasa kwa mama mama yake alieleza sabab ya kupewa kichapo na mama mkwe anaenda kusuluhisha nini wkt mtoto wake ni kicheche na aibu iko kwa mama na mtoto wake,kwa jinsi ninyoona hapo kama kaka amewatumia vitisho maana yake anamwita mdogo wake aje ashuhudie jinsi watu wanavyokatwa mapanga hakuna jingine!

Mpenzi ndege,

İnaelekea mama na mwana lao moja. Kesi ya nyani hakimu ngedere.
 
...huu ni mtihani...mh!wajuzi wa mambo pliz intavin! Napata harufu ya damu hapa!
 
kaka Asprin imebidi nicheke!!! maelezo niliyopata ktoka kwa kaka anadai aliwakuta wamesimama sehemu tata mida ya saa mbili!!!
Ndugu zangu mimi siegemei upande wowote!! nachopenda wasameane maana naweza sema kaka mwache mwanamke na je wakirudiana!! na Ndo maana nimepita hapa ndugu zangu!!
 
Last edited by a moderator:
naona UMEkuwa MSHENGA....muulize Bro hajawahi kuchombeza pembeni na KUMCHOJOA dem nguo bila kufumaniwa...endapo ndio bac amsamehe....Ujue BRO ako now days hachajishi vya kutosha...HAPELEKESHI MASHAMBULIZI ka zamani na pia mfuko umepwayaaaaa

daa!! hilo kwa kweli gumu kulijibu!!! yawezekana pia sdhani
 
Habari/ wanajf natumai muwazimaa!!,,
Naitaji mawazo yenu kunusuru ndoa hii ya kaka yangu iliyodumu Miaka 13,shemeji yangu alifumaniwa wiki iliyoisha!! na akapewa kichapo,,na akakimbilia kwa Mama yake!! jana mida ya saa mbili kaka yangu kanitumia sms kuwa Asbuhi ya leo mkwe na mkewe wanakuja kwake!!! ili kutatua hili tatizo,, kufika asbhi mama mkwe naye kanipigia simu kuniomba niwepo maana, Hana Iman na kaka yangu!! kwani keshawatumia sms nyingi za vitisho!!! ,,

mshauri bro aachane nae huyo mwanamke,hana maana kitendo cha kutoka nje ya ndoa ina maana hajaridhka na bro wako so hata wakirudiana mwendo utakuwa uleule
 
kesi za masuluhisho ya ndoa siku hizi zinaogopwa sana kabla hujaingia kwenye chumba cha masuluhisho wekeni polisi mlangoni ili kila anayeingia asachiwe asiingie na silaha kali
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom