KWA WADADA TU!msaada wenu tafadhali

Deborita

Member
Sep 10, 2013
37
11
mimi nina mwaka wa pili sasa nimeolewa!tatizo ni kwamba wakati wa tendo la ndoa,nina kiuno kigumu aisee hata kuzungusha siwezi mpaka nahisi mme anachukizwa japo hajawah kuniambia!naomba nisaidieni jaman nifanyeje na hiki kiuno nisijekuachika mie
 
...nimekosea njia!
"ume duplicate thread" Mahusiano, mapenzi, urafiki
Topic: KWA WADADA TU!!!msaada tafadhali
Deborita 19:03 Today
jaman wadada wenzangu mimi nimeolewa mwaka wa pili sasa,tatizo ni kwamba kwenye kufanya mapenzi nina kiuno kigumu aisee mpaka huwa nahic simridhishi mme wangu japo hajawah kuniambia!nisaidieni mwenzenu nisijekuachika,nifanyeje niweze kuzungusha vizur kiuno kwa bed?????

Reply Report Post

mimi49 19:07 Today
Jaribu kukizungusha out of bed!!Weka ndombolooo uyarudi!!Kukata viuno unatakiwa uwe flexible tangia mtoto!!Shida sana kujifunza ukubwani kwasababu mwili ushakomaaa!

Reply Report Post
farkhina 19:09 Today
By mimi49:
Jaribu kukizungusha out of bed!!Weka ndombolooo uyarudi!!
Shosti me naona cha ndombolo na cha bed tofauti ati...au vipi?

Reply Report Post
mimi49 19:10 Today
By farkhina:
Shosti me naona cha ndombolo na cha bed tofauti ati...au vipi?
Mi sijui mfunde mwenzetu basi we si mambo yale tayari!!!!!

Reply Report Post
farkhina 19:12 Today
By mimi49:
Mi sijui mfunde mwenzetu basi we si mambo yale tayari!!!!!
Hahahahahahaha itabidi tumsinge mwari....subiri niwaite mashosti waje lol....

Reply Report Post
mimi49 19:15 Today
By farkhina:
Hahahahahahaha itabidi tumsinge mwari....subiri niwaite mashosti waje lol....
Cc Madame B

Reply Report Post
CHAI CHUNGU 19:21 Today
By Deborita:
jaman wadada wenzangu mimi nimeolewa mwaka wa pili sasa,tatizo ni kwamba kwenye kufanya mapenzi nina kiuno kigumu aisee mpaka huwa nahic simridhishi mme wangu japo hajawah kuniambia!nisaidieni mwenzenu nisijekuachika,nifanyeje niweze kuzungusha vizur kiuno kwa bed?????
Ngoja ntarudi kukupa maujanja.

Reply Report Post
mimi49 Today, 19:22
This message has been deleted by mimi49.
mimi49 19:26 Today
Ukataji wa kiuno ka raha yako mwanamke: Unatakiwa kukata kiuno wakati wowote utakapojisikia kufanya hivyo au pale unapotaka kufika kileleni haraka. Namna ya ukataji wa kiuno huu ni tofauti na ule wa jukwaani pia ni tofauti na ule wa kumsaidia mwanaume amalize haraka (kwamba anapata utamu kiasi kwamba anahisi kutaka kufika mapema)....

Mwanamke unatakiwa kukata kiuno kitakachokufanya uhisi kuwa unauzunguuka uume ukiwa ndani ya uke wako, kaza misuli yako ya tumbo kisha aanza kukizunguusha wakati yeye mwanaume anaendelea na nje-ndani kama kawaida...hilo moja.

Pili, wakati mnaendelea kufanya mapenzi, mwanamke unatakiwa kutafuta kona nzuri ya uke wako na kuubana uume kona hiyo na kuanza kukizunguusha kiuno. Vilevile unaweza kuwasiliana na mumeo/mpenzi wako wakati tendo linaendelea mtegee mpenzi akifika mwisho wa uke....shikilia kiuno/makalio yake fanya kama unamkandamiza chini zaidi....panua miguu alafu kata kiuno kwa.

Kwa kufanya hivyo utasikia utamu kila kona ya uke wako kwani uume ukiwa fully ndani na yeye mwanaume katulia wewe unakuwa na nafasi ya kucheza na uume huko kwa kubadilisha ukataji wa kiuno chako nahivyo kona zako zote za uke kuguswa vile utakavyo wewe.

Ukataji wa kiuno kwa ajili ya mwanaume: Hapa mwanamke unatakiwa kujia timing, sio akiingiza tu wee unaanza kukata kiuno...it's boring alafu by the time unatakiwa kufanya hivyo utakuwa umejichokea.....
Pia inategemea na ufanyaji wa mwanaume husika kwani kuna wanaume wengine huwa hawatoi nafasi kwa mwanamke kukata kiuno kwani kuna mikunjo mingine kwakeli inakuwa ngumu sana kufanya chochote zaidi ya kutoa mihemo na sauti za raha kama sio discomfort!Ukataji wa kiuno ili kumpa mwanaume raha zaidi na hatimae utamu wa tendo unatakiwa kukatwa ktk mtindo wa kubana na kuachia na wakati unafanya hivyo kwa kutumia kiuno pia unatakiwa kushirikisha misuli yako ya uke.
Ukataji wa kiuno huu sio rahisi kwa kila mko, ila kuna mikao inayokufanya uweze kukata kiuno hiki kwa urahisi zaidi. Mikao kama mwanaume/mke juu/chini(kifo cha mende), Kipepeo, vijiko, kisusio, mbuzi kagoma/miguu minne, kuogelea (mwanamke chini), Kumi na 7/4 na mkao woowte utakao buni ambao unakuwezesha wewe mwanamke kukata kiuno ktk mtindo huu.
Mwanamke akikata kiuno kile cha kucheza jukwaani ni wazi kuwa huwezi kukisikilizia kwa ndani "unless" umashikilie kiunoni, lakini mwanamke anaekikata kile cha kitandani utahisi uume wako ukibanwa na kuachiwa kama vile mwanamke anavyobana misuli ya uke a.k.a Endiketa!

Nitakupa mfano kidogo hapa; kiuno cha ngono (kitandani) hukatwa kwa chini zaidi na kikikatwa makalio ya mwanamke hukaza tofauti na kile cha jukwaani ambapo ni kiuno tu ndio kinazunguuka.

Kunamikao ambayo humfanya mwanamke ashindwe kukata kiuno ipasavyo hasa kama maumbile ya wanaume yako kinamana, Mfano mwanaume mwenye uume mfupi akimfanya mwanamke ktk mkao wa "doggie" ya kulala ambayo mwanamke huwa huru zaidi kukizunguusha hufanya ashindwe kukatika vilivyo kwa vile itachomoka-chomoka.

Chanzo
Dinahicious-Sex, Relationships & Love


Reply Report Post
mimi49 19:34 Today
By farkhina:
Shosti me naona cha ndombolo na cha bed tofauti ati...au vipi?
Lakini mi naona ajifunze na cha ndomboloo vilevile itakuwa rahisi kwake then on bed lol
 
Pole fanya zoezi,,,
Sioni kama kuna ulazima sana wa kukata hayo mauno.... fanya mautundu yako mengi!!!!!!!!!"
 
mimi nina mwaka wa pili
sasa nimeolewa!tatizo ni kwamba wakati wa tendo la ndoa,nina kiuno
kigumu aisee hata kuzungusha siwezi mpaka nahisi mme anachukizwa japo
hajawah kuniambia!naomba nisaidieni jaman nifanyeje na hiki kiuno
nisijekuachika mie

Nenda kwa bibi kikafungwe mawe!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom