my best friend wife! why are you doing this to me????

excel

JF-Expert Member
Joined
Jul 8, 2011
Posts
22,460
Reaction score
17,947
wadau, habari za mujini???????

i hope wote mmeshapata breakfast! kama kuna ambaye hajaridhika ani-pm nimtafute kwa m-pesa!!

ok, mi suala ambalo limenileta hapa mbele yenu ni kuhusu huyu shemeji yangu, mke wa rafiki yangu mpendwa!

nimefahamiana nae kwa muda mfupi tu!! sina hata mwezi toka tujuane kwa majina na sura!! cha ajabu ni hili suala ambalo kaliibua bila jamaa yangu kujua!!

huyu binti nahisi ana hisia fulani za kunitaka kimapenzi, kitu ambacho mi sihitaji wala sina mpango wa kumfanyia rafiki yangu mpenzi!!

bi dada huyu, kila anaponiona, hasa ninapokuwa peke yangu, basi atanionesha trademarks za kimahaba haba kila wakati, mi mwenzenu hisia zangu ziko karibu sana!!! nimeshajaribu kumuonya lakini wapi!!!

nikiwa na mumewe, anajifanya mlokole sana tu!! anasalimia kwa heshima sana, lakini besti yangu akishampa mgongo tu, yani kama sinema, anaanza!!! tena siku hizi mwenzenu napuliziwa mabusu!! kama ----- vile, nahisi kusisimka vibaya! nakamatwa na kizunguzungu!!

nimeshaapa kutomwambia besti yangu, jamani ndoa hii itafika wapi endapo sitasema ukweli kwa jamaa?? huyu binti si atanimaliza kwa mitego?
1457641_542306029194081_411277167_n.jpg

(Hii ni image tu inayowakilisha!! haina uhusiano wowote na mke wa rafiki yangu!!)
 
Ahaa, kumbe ndio huyo....hata mie ananifanyia vituko!
 
Makubwaa!! Sasa hiyo picha akionekana si itakua balaaa!! Social media+ smart phone=Majanga
 
Akija Mpe! Ila ndo mwambie rafiki yako kuwa huyo ni wa ku-hit n run asing'ate na kung'ang'ana atajuta! Mwanamke Hana haya kwa rafiki wa bwana yake atawakosanisha bure....
 
Mh! Embu acha kumuaibsha mke wa mwenzio kulee!! Otherwse iwe inawakilisha! Btw- nawewe unaonekana kumtamani! Shauriro utapasuliwa kichwa na huyo rafikiyo we jipendekeze tu!!
 
ahsante dada kwa ushauri!!!

kanga zenu hizo! ohoo!!
 
Akija Mpe! Ila ndo mwambie rafiki yako kuwa huyo ni wa ku-hit n run asing'ate na kung'ang'ana atajuta! Mwanamke Hana haya kwa rafiki wa bwana yake atawakosanisha bure....

viumbe hivi jamani!

btw, thanks!
 
wadau, habari za mujini???????

i hope wote mmeshapata breakfast! kama kuna ambaye hajaridhika ani-pm nimtafute kwa m-pesa!!

ok, mi suala ambalo limenileta hapa mbele yenu ni kuhusu huyu shemeji yangu, mke wa rafiki yangu mpendwa!

nimefahamiana nae kwa muda mfupi tu!! sina hata mwezi toka tujuane kwa majina na sura!! cha ajabu ni hili suala ambalo kaliibua bila jamaa yangu kujua!!

huyu binti nahisi ana hisia fulani za kunitaka kimapenzi, kitu ambacho mi sihitaji wala sina mpango wa kumfanyia rafiki yangu mpenzi!!

bi dada huyu, kila anaponiona, hasa ninapokuwa peke yangu, basi atanionesha trademarks za kimahaba haba kila wakati, mi mwenzenu hisia zangu ziko karibu sana!!! nimeshajaribu kumuonya lakini wapi!!!

nikiwa na mumewe, anajifanya mlokole sana tu!! anasalimia kwa heshima sana, lakini besti yangu akishampa mgongo tu, yani kama sinema, anaanza!!! tena siku hizi mwenzenu napuliziwa mabusu!! kama ----- vile, nahisi kusisimka vibaya! nakamatwa na kizunguzungu!!

nimeshaapa kutomwambia besti yangu, jamani ndoa hii itafika wapi endapo sitasema ukweli kwa jamaa?? huyu binti si atanimaliza kwa mitego?
1457641_542306029194081_411277167_n.jpg

(Hii ni image tu inayowakilisha!! haina uhusiano wowote na mke wa rafiki yangu!!)

Umepata wapi kibari cha kutumia image hii?

By the way mambo yako binafsi wakati mwibgine malizana nayo mwenyewe.

Mimi sioni cha kujadili hapa.
 
kama unathamini urafiki wenu utakwepa hayo majanga!
 
mkuu naona unapigwa flying kisses basi we hoi...askari wako wote bunduki wanyanyua juu...heheheh
 
Umepata wapi kibari cha kutumia image hii?

By the way mambo yako binafsi wakati mwibgine malizana nayo mwenyewe.

Mimi sioni cha kujadili hapa.

huoni cha kujadili??

are you you?
 
mkuu naona unapigwa flying kisses basi we hoi...askari wako wote bunduki wanyanyua juu...heheheh

mkuu nakwambia uswahilini kuna vituko!!!

wengine mpaka wanakaliwa nusu vipaja makusudi tu!
 
wadau, habari za mujini???????

i hope wote mmeshapata breakfast! kama kuna ambaye hajaridhika ani-pm nimtafute kwa m-pesa!!

ok, mi suala ambalo limenileta hapa mbele yenu ni kuhusu huyu shemeji yangu, mke wa rafiki yangu mpendwa!

nimefahamiana nae kwa muda mfupi tu!! sina hata mwezi toka tujuane kwa majina na sura!! cha ajabu ni hili suala ambalo kaliibua bila jamaa yangu kujua!!

huyu binti nahisi ana hisia fulani za kunitaka kimapenzi, kitu ambacho mi sihitaji wala sina mpango wa kumfanyia rafiki yangu mpenzi!!

bi dada huyu, kila anaponiona, hasa ninapokuwa peke yangu, basi atanionesha trademarks za kimahaba haba kila wakati, mi mwenzenu hisia zangu ziko karibu sana!!! nimeshajaribu kumuonya lakini wapi!!!

nikiwa na mumewe, anajifanya mlokole sana tu!! anasalimia kwa heshima sana, lakini besti yangu akishampa mgongo tu, yani kama sinema, anaanza!!! tena siku hizi mwenzenu napuliziwa mabusu!! kama ----- vile, nahisi kusisimka vibaya! nakamatwa na kizunguzungu!!

nimeshaapa kutomwambia besti yangu, jamani ndoa hii itafika wapi endapo sitasema ukweli kwa jamaa?? huyu binti si atanimaliza kwa mitego?
1457641_542306029194081_411277167_n.jpg

(Hii ni image tu inayowakilisha!! haina uhusiano wowote na mke wa rafiki yangu!!)

dah mbona hii picha kama ni ya heaven on earth?kama vile nilimuona juzi airport anaenda arusha?lakini vya kuibaga ibaga vinakuwaga vitamu
 
Kaa chini mueleze rafiki yako TRUE IDENTITY ya huyo mke wake, we unadhani kukaa kimya ndio una-solve tatizo?
kumbuka..."TRUTH SHALL SET YOU FREE"
 
Back
Top Bottom