Senior Boss
JF-Expert Member
- Aug 19, 2011
- 3,405
- 3,702
Salaam Wakuu,
Sometimes unakaa kwa Relation na mtu si kwa sababu hana matatizo, au yeye ndo best kuliko wote,ni kwa sababu tu matatizo mnayopitia leo mmeyazoea na kila yanapotokea mmeshajua jinsi ya kuyatatua.Kumkimbia mtu coz anakuboa ni sawa na kuhama gereza la Ukonga na kukimbilia gereza la Segerea ukidhani wenzako wanakula Pilau kule,utashangaa ukifika ni mwendo wa dona na si ajabu Dona ya Segerea haiivi vizuri kama unakotoka...Love ur partner, kuwa msikivu pale anapokushauri, Omba msamaha ukimkosea na sio kujifanya we kidume/ nunda hukosei hata pale umebofoa unaona kuomba msamaha ni tabia ya kike,si kweli !! Jifunzeni kusolve matatizo in 24hrs circle,msikubali mgombane mlale mmenuniana, SOLVE IT on the spot.
OVER !!!