MaRijali mtaacha lini hulka hii..!

life is Short

JF-Expert Member
Apr 1, 2013
4,741
3,031
Kukinai na ulichonacho; Yaani unakula nyama choma sahani full....Halafu mara unatazama sahani ya mwenzio !! Vipi hapo? haya mamboz yapo very common kwa marijali..... Jamenii fungukeni mutupe taswira za mujini.
man.jpg
 
mbona hii hata kwa wanawake inawatokea!!

wivu is like pie! 22/7!
 
Sahani yangu nimewahi kumaliza kula, wenzangu wanakula kwa nyodo sasa mi nifanyeje??
Wanyumabi DO eeeh, tumbo ni moja umeshiba ukivimbiwa jee?!! Mda mwingi utapatwa na food poison !! atleast mwenza atakupa "First Aid"
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom