Jamvi la wageni

Jamvi la wageni

Mshana Jr

Platinum Member
Joined
Aug 19, 2012
Posts
376,454
Reaction score
872,070
Ni neno ambalo siku hizi ni nadra kulisikia lakini nyakati zile lilitumika sana likimaanisha mwanamke mal..ya asiyejua kukataa mwanaume
Wakati ule mwanamke hakuvulii pichu yake mpaka uhangaike naye sana, Yani hawakuwa maharage ya mbeya maji mara moja
Siku hizi ni tofauti kabisa unatupa ndoana inanasa unaenda kula mzigo hakuna kuremba wala nini,maisha yamebadilika kabisa, utupu wa mwanamke kimekuwa kitu cha kawaida mno
Nipo mahali jamaa katongoza na kaondoka na binti mdogo na baada ya muda karudi anasema keshamaliza. Nikakumbuka Enzi za jamvi la wageni
 
Mkuu siku hizi macho kwenye pesa tu utupu kitu gani bwana
 
Mmmh atakuwa malaya huyo anajiuza anafikiri demu wa kitaa
 
ndio maana mkuu zamani walivaa magome ya miti ila leo unavaa nguo! maana yake mabadiliko ni lazima!
 
Ni neno ambalo siku hizi ni nadra kulisikia lakini nyakati zile lilitumika sana likimaanisha mwanamke mal..ya asiyejua kukataa mwanaume
Wakati ule mwanamke hakuvulii pichu yake mpaka uhangaike naye sana, Yani hawakuwa maharage ya mbeya maji mara moja
Siku hizi ni tofauti kabisa unatupa ndoana inanasa unaenda kula mzigo hakuna kuremba wala nini,maisha yamebadilika kabisa, utupu wa mwanamke kimekuwa kitu cha kawaida mno
Nipo mahali jamaa katongoza na kaondoka na binti mdogo na baada ya muda karudi anasema keshamaliza. Nikakumbuka Enzi za jamvi la wageni

Ingawa sijaelewa nia dhahiri ya kuandika uzi huu, ila ni ukweli usiopingika kuwa siku hizi baadhi ya wadada wamekuwa wakijirahisi mno kiasi cha kushangaza. Sijui sababu ni utandawazi, malezi au hali ya uchumi kuwa mbaya, ila nafikiri pia kuporomoka kwa maadili kumechangia sana na kufanyia tendo la ndoa kuonekana ni kitu cha kawaida cha kumpa yeyote anayehitaji.

Twahitaji neema ya Mungu kuturudisha kuwa binadamu wenye utu na kujiheshimu. Mabadiliko huanzia kwako na kwangu, hebu na tujaribu kuanzia hapo ....
 
na afadhali hii ya siku hizi, mie ukinizungusha siku 3, hunioni tena na assume jibu lako ni sahihi
 
sasa zamani demu bila misele umwoni, siku hizi kila kitu kwenye simu haina toafauti sana na hiyo unayoita zamani...... ila ninyi viumbe amridhiki we unataka demu akuzungushe miaka mingapi ili uridhike?.............. yani nizinguke kutafuta hela hapo hapo nizungushe mwanaume kukubali wakiti jibu najua ni ndiyo au siyo........ loh! huo muda wa kumzungusha mwanaume nikifanya kazi naweza ingiza hata buku aisee....
 
Du...! Haya bwana takupm
 
acheni hizo wakiwakatilia mnasema wanaringa wakiwakubalia mnasema malaya mbona mmekuwa vinyonga mimi kiukweli huwa napenda 'single kick' sio unawasha gari linawaka baada ya nusu saa,napenda kweli maharage ya mbeya hata kwa mwanga wa tochi yanaiva.
 
Ni neno ambalo siku hizi ni nadra kulisikia lakini nyakati zile lilitumika sana likimaanisha mwanamke mal..ya asiyejua kukataa mwanaume
Wakati ule mwanamke hakuvulii pichu yake mpaka uhangaike naye sana, Yani hawakuwa maharage ya mbeya maji mara moja
Siku hizi ni tofauti kabisa unatupa ndoana inanasa unaenda kula mzigo hakuna kuremba wala nini,maisha yamebadilika kabisa, utupu wa mwanamke kimekuwa kitu cha kawaida mno
Nipo mahali jamaa katongoza na kaondoka na binti mdogo na baada ya muda karudi anasema keshamaliza. Nikakumbuka Enzi za jamvi la wageni

naona mapambano yanaendelea ladies v/s men haya yetu macho
 
HAKUNAGA WANAUME MAJAMVI YA WAGENI? MBONA WAMEJAA TELE? MTUWACHEEEEEEEEEE naomba hii iwe last warning mtuacheeeee

C.C mwungwana usomdudu daud omar bandu bandu Jodoki Kalimilo mshana jr julius mahinya orsePower methor usomdudu mwungwana seniour boss washawasha smile heaven on earth sister lady doctor mwekundu swts kaizer Mashaxizo madame B himidini king'ast mzizimkavu bulldog
 
AISEE
Sasa hao wadada wajiuzia wenyewe kwa wenyewe? Au ni malezi mema na ni sawa kwa watoto wa kiume kuchovya chovya hovyo? Honestly nilitegemea mchango zaidi ya huo kutoka kwako.

Ingawa sijaelewa nia dhahiri ya kuandika uzi huu, ila ni ukweli usiopingika kuwa siku hizi baadhi ya wadada wamekuwa wakijirahisi mno kiasi cha kushangaza. Sijui sababu ni utandawazi, malezi au hali ya uchumi kuwa mbaya, ila nafikiri pia kuporomoka kwa maadili kumechangia sana na kufanyia tendo la ndoa kuonekana ni kitu cha kawaida cha kumpa yeyote anayehitaji.

Twahitaji neema ya Mungu kuturudisha kuwa binadamu wenye utu na kujiheshimu. Mabadiliko huanzia kwako na kwangu, hebu na tujaribu kuanzia hapo ....
 
AISEE
Sasa hao wadada wajiuzia wenyewe kwa wenyewe? Au ni malezi mema na ni sawa kwa watoto wa kiume kuchovya chovya hovyo? Honestly nilitegemea mchango zaidi ya huo kutoka kwako.

Uko sahihi lakini uumbaji ulianzia kwa mwanaume na baadae huyo mwanaume ndio akaletewa msaidizi wa kufanana naye Kwahiyo Siku zote mwanamke huwa mwepesi wa kunyooshewa kidole
Hata hivyo mada ya leo inahusu wanawake
 
AISEE
Sasa hao wadada wajiuzia wenyewe kwa wenyewe? Au ni malezi mema na ni sawa kwa watoto wa kiume kuchovya chovya hovyo? Honestly nilitegemea mchango zaidi ya huo kutoka kwako.

Kaunga habari za siku nyingi? Tumepoteana kwa muda kidogo jamvini!
Back to mada, you might be right. Lakini mimi nimechangia kwa perception ya "Jamvi la wageni" kama ilivyotolewa na mleta mada, namna gani wadada walivyokuwa ni wagumu kupatikana enzi hizo kulingana na hivi sasa hali ilivyo. Huu mpendwa wangu ni ukweli usiopingika, tabia zimebadilika mno, sisemi kwa wanawake tu, hata kwa wanaume pia.

Sikatai kwamba wanaume hawajabadilika, ni kweli nao pia wamebadilika. Lakini kama kila group likiukubali ukweli, na likasimama kwa nafasi yake, na kuamua kuchukua hatua, basi kuna uwezekano mkubwa wa kupunguza tatizo. Namaanisha nini, wadada wasipojiuza, hata wakaka hawatawapata, nao wakaka wasipogeuka wateja wa hao wadada, basi pia wadada wataacha tabia zao mbaya. Kumbuka mabadiliko ni mimi na wewe, tukubali tatizo, tusolve tatizo!!!
 
Last edited by a moderator:

Similar Discussions

Back
Top Bottom