natafuta mwanamke wa kuoa kwa ndoa nikipendana nae nikiamini kuwa Mungu atanisaidia Sifa zake: awe mweupe, miaka 18 hadi 23, mwenye elimu kuanzia O-level, au aliyeajiriwa, mkatoliki...
Jaman dunia inaelekea mwisho,mwanamke asiyefahamika kajifungua mapacha wa kiume na kike na kisha kuwatupa hapa kituoni kimara baruti kwa bahat mbaya tumeshuhudia tayari vishakufa.polisi bado...
^^
Mwanasaikolojia John Powel katika kitabu chake cha "Why I am afraid to tell you Who I am" anaeleza hatua tano ambazo wapenzi au wanandoa huzirudia rudia na hatari zake! Angalia mwenyewe kisha...
Kwa Wadada: Kwa dada zangu wote wa kizazi hiki chetu: Sababu zinazoweza kukufanya ukose mchumba ukabaki singo muda mrefu au maisha yote huku unalialia:
1. Kutokuwa na hofu ya Mungu. Binti huendi...
MMU members nimekuwa nikirikifikira sana jambo hili na mwishowe nikafikia tamati kuwa thamani ya uzuri wako wewe mwanaume au mwanamke nikumpata anayekupenda kwa dhati na kuuthamini uzuri wako...
Nimeikuta hii kwenye pm yangu. Huyu anaomba ushauri.
Niliolewa 2005 na kubahatika kupata watoto 2. Ndoa yangu ilikuwa tamu sana, tatizo mume wangu alipata ajali kazini, yeye fundi kwa...
Wadau,
Kwa kuanza tu niseme nimefanya mapenzi yasiyo salama na wanawake wengi sana na mnamo mwaka 2006 nilikutana na mmoja wa ma-ex wangu ambaye tulikuwa hatujaonana kwa kadri ya mwaka mmoja...
Ni heri kuwa na mtu anaye-bring the good and bad in you or the best and worst? Ukilinganisha na bad, worst ni chungu kama shubiri! Best, ukilinganisha na good, ni tamu kama asali! Heri uchungu na...
Bila shaka mko poa....
huku chuoni kuna program inaendelea ya kugawa kondom buree kabisa..... hii mambo iko poa but tatizo ni kwamba wagawaji wanaonekana hawako siriaz kabisa... wanatoa kondomu...
Have you ever been kissed ..
Have you ever been Kissed . Mpaka you deeply feel and say to your self that If only I just could have this KISS Forever .. Or Do you Kiss Mpaka the one you KISS...
Mimi ni kijana mwenye umri wa miaka ishirini na sita sasa nilikuwa na rafiki yangu wa kike yaani mchumba tuna mwaka na nusu lkn sijawahi kukutana naye kimwili maana nilitaka awe mchumbawangu...
Umealikwa jioni na Mvulana(New Lover) Kwani ni lazima mje wanne na mbaya zaidi wote wanakunywa Savana na mmoja mwenye dozi yeye anakunywa Red Bull kwani lazima unywe Savana au Red Bull wakati kwa...
Katika dunia hii iliyojaa watu wengi na vitu vingi kama hivi , nimeamini na nitaendelea kuamini kwamba wewe ndio mkweli kwa sababu tumekuwa wote kwa kipindi hichi kirufu siwezi kusema kwa muda...
Bado sijapata majibu kuhusu namna watu wanavyoambukizwa VVU wakati wanajua kuwa kuna ugonjwa wa ukimwi na kwamba asilimia kubwa ya maambukizi yake hupitia kwa njia ya zinaa(sex), na unakuta mtu...
Si vibaya kuomba ama kupewa ushauri na mtu humu jukwani, ninachotaka kusema ni kuhusu aina ya ushauri unaoupata! humu jukwaani kuna watu ambao ambao wanaweza kukupa ushauri bila ya wawe kumuelewa...
''Nampenda sana mke wangu, ni miezi sita tu toka tufunge ndoa!!!
sitaki kumuudhi wala kumkera kwa lolote, namtimizia kila kitu ili mradi tu asipate vishawishi vya kutoka nje ya ndoa!
toka tuanze...
nawasalimu wana JF kuna kitu nimekisikia ni ivi eti kuna madhara gani wakati mwanamke anapokuwa mjamzito na mwanamme kutoka nje ya ndoa kwa kipindi icho? niayo tu.
Stolen:
Kwa kawaida Wanawake tunadondoka kimapenzi haraka zaidi kuliko wenzetu. Huenda Mwanaume akawa amevutiwa na Muonekano wako, Uzuri, Uwezo kiakili, Sauti, Utembeavyo n.k. Mkaanza au...
Nimekuwa kwenye urafiki na nesi flani kwa muda mrefu,nikiwa na kawaida ya kumtembela nyumbani kwake tunapiga story,mwisho ikataokea uhusiano flani hivi usio rasmi...