Inasikitisha wanawake nyie ni viumbe hatari

mtoto wa kibopa

JF-Expert Member
Joined
Apr 20, 2013
Posts
5,370
Reaction score
6,533
Jaman dunia inaelekea mwisho,mwanamke asiyefahamika kajifungua mapacha wa kiume na kike na kisha kuwatupa hapa kituoni kimara baruti kwa bahat mbaya tumeshuhudia tayari vishakufa.polisi bado wanamtafuta mtuhumiwa huyo aliyefanya unyama huo. daah woto ni wazuri balaaa hadi inatia hasira kwanini alifikia uamuzi huo.

my take
wanawake acheni tabia ya kutupa viumbe visivyo na hatia dhambi mfanye nyie mje kuwatesa yote inatokana na tamaa zenu mbadilike jamani
 
binamutz ni kweli haipendezi kutupa kiumbe asiye na hatia lakini na mimi nina haya kwa wanaume:

Kama unajua lengo lako sio kuoa mshauri huyo unayemtamani basi hata atumie uzazi wa mpango

Ikitokea kinyume na matarajio yenu mimba ikaingia chukueni jukumu la kulea mimba na mtoto,kwani kwa kukataa mimba ni sawa na kumtupa mtoto asiye na hatia

kwa kufanya hivyo nadhani kasi ya kutupa watoto kwa akina mama itapungua kwani si wote wanaowatupa kimakusudi au wakiwa na ufahamu wao kabisa,wengine wanalemewa na hisia za kuchanganyikiwa :scared: juu ya hatima ya watoto wao au pengine wengine wanaathirikia kisaikolojia kwa jinsi alivyokanwa na baba mtoto na kuamua kuchukua uamuzi mgumu kama huo.

N;B wanaume acheni kukana mizigo yenu mliyoipandikiza ninyi wenyewe :mimba:

wanawake hata ikiwa mwanaume kaikataa mimba usitupe mtoto ni zawadi kuoka kwa mungu siku akikua ndo utujua uzuri wa mtoto.
 
Last edited by a moderator:

kweli umeongea point kweli ila imeniuma sana ndo maana nimeandika kwa hasira hvyo mkuu wote tunamakosa
 
sasa kama alivumilia miez 9 , je kuwalea kashindwa ?? heri hata angekabidhi kwa watu wamsaidie kulea
 
binamutz inaumiza sana kukuta kiumbe kisicho na hatia kimetupwa ikiwa ni matokeo ya starehe za baba na mama zisizo kuwa na kichwa wala miguu,zisizo na mipango wala malengo,mi narudia tena kama wewe me au ke unajijua kuwa huwezi kulea mtoto au hauko tayari kwa hilo bora ujiepushe kabisa na mapenzi au kama hujiwezi tumia uzazi wa mpango,na ikitokea umeibeba bila matarajio ileeni mtoto azalliwe na atunzwe,hakuna kitu kitamu kama mtoto jamani,its so sweet.sijui mtu anatoa wapi ujasiri wa kumtupa mtoto jamani.
kweli umeongea point kweli ila imeniuma sana ndo maana nimeandika kwa hasira hvyo mkuu wote tunamakosa
 
Last edited by a moderator:
binamutz inaumiza sana kukuta kiumbe kisicho na hatia kimetupwa ikiwa ni matokeo ya starehe za baba na mama zisizo kuwa na kichwa wala miguu,zisizo na mipango wala malengo,mi narudia tena kama wewe me au ke unajijua kuwa huwezi kulea mtoto au hauko tayari kwa hilo bora ujiepushe kabisa na mapenzi au kama hujiwezi tumia uzazi wa mpango,na ikitokea umeibeba bila matarajio ileeni mtoto azalliwe na atunzwe,hakuna kitu kitamu kama mtoto jamani,its so sweet.sijui mtu anatoa wapi ujasiri wa kumtupa mtoto jamani.
umeongea ukweli mtupu mkuu hope utakuwa mzazi mwema
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom