Ngwananzengo
JF-Expert Member
- Jul 28, 2012
- 1,911
- 1,322
Ilinitokea mara ya kwanza sikujali, ikaja nitokea mara ya pili nikapuuza, imenitokea mara ya tatu imebidi nisituke. Kwanini mimi na kwa nini suala hili linajirudia kwangu. Nilipopewa miadi ya kutoka na ''mwenza'' wangu kwa mara ya kwanza nilimkuta ''wachezaji wa simba'' wanatamba. Nikaja pata mwingine ikawa hivyo, huyu wa mwisho ndio nikasituka. Wote niliwakagua na ikawa kweli, kweli tupu. Naombeni ushauri.