Hiki kitendo kinanitatiza

Hiki kitendo kinanitatiza

CharmingLady

JF-Expert Member
Joined
Apr 16, 2012
Posts
18,304
Reaction score
12,999
Habari zenyu binafsi,

Mimi na mchumba wangu tumedumu katika mahusiano kwa takribani miaka miwili sasa, ndani ya huo muda kumekuwa na mitafaruku ya hapa na pale ila tumesolve na tunasonga. Nafahamika kwao naye nanafahamika kwetu kwa malengo ya kwamba mwakani panapo majaaliwa tufunge ndoa.

Sasa kitu kinachonitatiza ni hiki, boyfriend wangu anaishi na kaka yake, yaan kaka yake ndiye nayeishi kwa boyfriend wangu. Juzi kati nimeshuhudia kitendo ambacho sijakifurahia hata kidogo na kinanitatiza sana.

Iko hivi, ilikuwa jioni moja alinipigia simu kuwa anahitaji nikamsaidie kupika chakula fulani ambacho anakipenda, mie huyooooo nikaenda. Kufika nikakuta mazingira ya uwepo wa msichana ndani, na kweli nilipogonga akaja kufungua. Roho ilipasuka nikahisi mke mwenza, alinikaribisha as if yeye ndiyo mwenyeji, nikaingia moja kwa moja mpaka chumbani kwa boyfriend wangu. Nikabadili nguo na kwenda jikoni kufanya nilichoelekezwa. Kufika nikamkuta bidada kajaa tele jikoni anapika, nikamuuliza unaitwa nani na umetokea wapi na ni mgeni wa nani? Akanijibu ni mgeni wa "Jay" ambaye ndiyo shemeji yangu. Basi nikamtaarifu Boyfriend wangu uwepo wa mgeni huyo. Naye kaonekana kushangaa make yule shemeji yangu naye ana mchumba tofauti ya yule bidada aliyeko jikoni. Na kwa wakati huo mchumba wa shemeji yangu alikuwa kasafiri.

Basi baada ya muda Shemeji karudi na pia boyfriend wangu akarudi ila sikuona kama boyfriend wangu kachukizwa na kile kitendo cha kaka yake kuleta msichana mwingine pale kwake tofauti na anayefahamika. Mbali na hilo kuna siku tulikuwa tumetoka out ile kurudi shemeji akatoka chumbani kwake akiwa ameongozana na msichana mwingine tofauti na mchumba wake na pia tofauti na yuleeee bidada niliye mkuta jikoni.

Kiukweli nilichukizwa kile kitendo cha shemeji kubadilia wasichana watatu ndani ya mwezi mmoja, nilimhoji mchumba wangu, kwanini kaka yake nafanya vitendo vile mbele yake na yeye mdogo mtu hachukui hatua hata ya kumkanya? Pale sio ghetto bali ni nyumba ya familia, heshima inatakiwa kuwepo, yaan nilionekana mwiba make kidogo nichakazwe reception.

Kitendo kile ninanitatiza sana, kama kaka mtu anaweza kufanya vile mbele ya mchumba wangu na mchumba wangu haonekani kuchukua hatua wala kuchukia si hata mchumba wangu pia anafanya hayo????? Yaan nimekosa imani naye tena nahisi hata mimi nisipokuwepo naye huwa ananifanyia hayo hayo!! As “Birds of the same feather flock together.”

Naomba ushauri wenu....

Ndimi Dada Hawa C/O charminglady
 
Last edited by a moderator:
unachohisi ndo exactly ukweli wenyewe

sasa chagua kusuka au kunyoa...

na mlishaelezwa humu na lara 1 mambo ya kwenda kupika na kusafisha nyumba subirini muoelewe

haraka ya nini?

halafu kumbe hata uhuru wa kuongea kinachokukwaza tu mbele yake huna?

utachakazwa reception kwa kumkosoa kaka?

je siku akija mama mkwe kukutukana,utaweza hata kulisema hilo?

naona umeanza taratiibu kuingia 'utumwani'..

ndo maana sometimes namuona lara 1 kawazidi dada zake akili...
 
Last edited by a moderator:
Khaa!
Pilipili usoila yakuwashia nini?
...
Unataka kucontrol nyumba kabla ya wakati?
...
Kwanini usiwe na imani na boyfrnd wako kwa matendo ayafanyayo kaka yake?
Ivi hujawai kuona mama mcharuko but mtoto katulia?
For sure boyfrnd wako hawezi kufanya kama utakavyo wewe!
Amgombeze mbele yako!
...
Na akimgombeza tu ataambiwa hivi "unajifanya mjuaji coz nipo kwako?"
...
Embu tulia utuwe kuna baadhi ya vitu ke mnachokoroa wenyewe!
 
habari zenyu binafsi,

mimi na mchumba wangu tumedumu katika mahusiano kwa takribani miaka miwili sasa, ndani ya huo muda kumekuwa na mitafaruku ya hapa na pale ila tumesolve na tunasonga. Nafahamika kwao naye nanafahamika kwetu kwa malengo ya kwamba mwakani panapo majaaliwa tufunge ndoa.

Sasa kitu kinachonitatiza ni hiki, boyfriend wangu anaishi na kaka yake, yaan kaka yake ndiye nayeishi kwa boyfriend wangu. Juzi kati nimeshuhudia kitendo ambacho sijakifurahia hata kidogo na kinanitatiza sana.

Iko hivi, ilikuwa jioni moja alinipigia simu kuwa anahitaji nikamsaidie kupika chakula fulani ambacho anakipenda, mie huyooooo nikaenda. Kufika nikakuta mazingira ya uwepo wa msichana ndani, na kweli nilipogonga akaja kufungua. Roho ilipasuka nikahisi mke mwenza, alinikaribisha as if yeye ndiyo mwenyeji, nikaingia moja kwa moja mpaka chumbani kwa boyfriend wangu. Nikabadili nguo na kwenda jikoni kufanya nilichoelekezwa. Kufika nikamkuta bidada kajaa tele jikoni anapika, nikamuuliza unaitwa nani na umetokea wapi na ni mgeni wa nani? Akanijibu ni mgeni wa "jay" ambaye ndiyo shemeji yangu. Basi nikamtaarifu boyfriend wangu uwepo wa mgeni huyo. Naye kaonekana kushangaa make yule shemeji yangu naye ana mchumba tofauti ya yule bidada aliyeko jikoni. Na kwa wakati huo mchumba wa shemeji yangu alikuwa kasafiri.

Basi baada ya muda shemeji karudi na pia boyfriend wangu akarudi ila sikuona kama boyfriend wangu kachukizwa na kile kitendo cha kaka yake kuleta msichana mwingine pale kwake tofauti na anayefahamika. Mbali na hilo kuna siku tulikuwa tumetoka out ile kurudi shemeji akatoka chumbani kwake akiwa ameongozana na msichana mwingine tofauti na mchumba wake na pia tofauti na yuleeee bidada niliye mkuta jikoni.

Kiukweli nilichukizwa kile kitendo cha shemeji kubadilia wasichana watatu ndani ya mwezi mmoja, nilimhoji mchumba wangu, kwanini kaka yake nafanya vitendo vile mbele yake na yeye mdogo mtu hachukui hatua hata ya kumkanya? Pale sio ghetto bali ni nyumba ya familia, heshima inatakiwa kuwepo, yaan nilionekana mwiba make kidogo nichakazwe reception.

Kitendo kile ninanitatiza sana, kama kaka mtu anaweza kufanya vile mbele ya mchumba wangu na mchumba wangu haonekani kuchukua hatua wala kuchukia si hata mchumba wangu pia anafanya hayo????? Yaan nimekosa imani naye tena nahisi hata mimi nisipokuwepo naye huwa ananifanyia hayo hayo!! As “birds of the same feather flock together.”

naomba ushauri wenu....

Ndimi dada hawa c/o charminglady

sisi waislamu tuna ambiwa hivi,mfikirie mwenzio vizuri...hata kama umemuoana mwanaume na mwanamke wanatoka kichakani jiambie ya kuwa walikwenda kila mmoja kivyake pale kichakani kutafuta mbuzi wao aliyepotelea kichakani na wakakutana kwa bahati mbaya..hata kama wanatokea guest na ukawaona,jiambie ile ni nyumba ya wageni na wametoka pale kutazama mgeni wao aliyefikia pale...ryt? Maadamu hujamfumania mchumba wako,uache hisia mbaya,ndoa na mahusiano mengi duniani yamekufa kwa sababu ya hisia mbaya,sio kwa sababu za ukweli...take it from me!
 
kama kaka mtu anafanya hivyo mbele ya mdogo wake na hamwambii lolote na mbaya zaidi mele ya mchumba / mpenzi wa mdogo wake... hapo elewa hata mdogo mtu kama mwenzi wake hayupo anafanya hivyo kama kaka yake kwani mara nyingi tabia kama hizo zitakuwa kwa wote mtu na kaka yake .. cha msingi ajiengue au achukue tahadhari
 
The boss kachora rula ya chuma. Ukweli ni huu, kuna asilimia kubwa sana ya boyfriend wako kutokuwa mwaminifu na ndiyo maana anashindwa kumkemea kaka yake uovu wake. Halafu kwa nini aishi na kaka yake?? Kama hana kazi si amtafutie hata kamtaji akaanze maisha yake taratibu ili kama ufuska akaufanyie kwake??

Hebu hoji jambo hilo kwa undani na kama utaendelea kutishiwa kupigwa uamuzi ni wako uendelee au usieendelee.
 
Kwanza huyo kaka ana adabu na aibu hata chembe, hapo hujaolewa anafanya mambo ya aibu kwa shemeji yake je ukishaolewa si ndio atakuonesha vingi
 
Kwa nini ukapike na kusafisha nyumba wakati haujaolewa? Source lara 1

Yaani hata ukiachana na huyo aneyefata nae atakukimbia tu akijua wewe hauna akili ya kufikiria.

Sio tu waoaji hakuna hata waolewaji pia hakuna kama wadada wenyewe sio tu kusoma hawajui bali hata kuangalia picha hawawezi.

Tulia kwenu subiri uolewe ndio ukapike na kupakua..

Wanaume tunajuana, na nina uhakika 100 parcent Mchumba wako nae anafanya hivyo hivo,, ndege wafananao wanaruka pamoja
 
Last edited by a moderator:
unachohisi ndo exactly ukweli wenyewe

sasa chagua kusuka au kunyoa...

na mlishaelezwa humu na lara 1 mambo ya kwenda kupika na kusafisha nyumba subirini muoelewe

haraka ya nini?

halafu kumbe hata uhuru wa kuongea kinachokukwaza tu mbele yake huna?

utachakazwa reception kwa kumkosoa kaka?

je siku akija mama mkwe kukutukana,utaweza hata kulisema hilo?

naona umeanza taratiibu kuingia 'utumwani'..

ndo maana sometimes namuona lara 1 kawazidi dada zake akili...

Ushauri wako mzuri ndugu!
 
Last edited by a moderator:
Habari zenyu binafsi,

Mimi na mchumba wangu tumedumu katika mahusiano kwa takribani miaka miwili sasa, ndani ya huo muda kumekuwa na mitafaruku ya hapa na pale ila tumesolve na tunasonga. Nafahamika kwao naye nanafahamika kwetu kwa malengo ya kwamba mwakani panapo majaaliwa tufunge ndoa.

Sasa kitu kinachonitatiza ni hiki, boyfriend wangu anaishi na kaka yake, yaan kaka yake ndiye nayeishi kwa boyfriend wangu. Juzi kati nimeshuhudia kitendo ambacho sijakifurahia hata kidogo na kinanitatiza sana.

Iko hivi, ilikuwa jioni moja alinipigia simu kuwa anahitaji nikamsaidie kupika chakula fulani ambacho anakipenda, mie huyooooo nikaenda. Kufika nikakuta mazingira ya uwepo wa msichana ndani, na kweli nilipogonga akaja kufungua. Roho ilipasuka nikahisi mke mwenza, alinikaribisha as if yeye ndiyo mwenyeji, nikaingia moja kwa moja mpaka chumbani kwa boyfriend wangu. Nikabadili nguo na kwenda jikoni kufanya nilichoelekezwa. Kufika nikamkuta bidada kajaa tele jikoni anapika, nikamuuliza unaitwa nani na umetokea wapi na ni mgeni wa nani? Akanijibu ni mgeni wa "Jay" ambaye ndiyo shemeji yangu. Basi nikamtaarifu Boyfriend wangu uwepo wa mgeni huyo. Naye kaonekana kushangaa make yule shemeji yangu naye ana mchumba tofauti ya yule bidada aliyeko jikoni. Na kwa wakati huo mchumba wa shemeji yangu alikuwa kasafiri.

Basi baada ya muda Shemeji karudi na pia boyfriend wangu akarudi ila sikuona kama boyfriend wangu kachukizwa na kile kitendo cha kaka yake kuleta msichana mwingine pale kwake tofauti na anayefahamika. Mbali na hilo kuna siku tulikuwa tumetoka out ile kurudi shemeji akatoka chumbani kwake akiwa ameongozana na msichana mwingine tofauti na mchumba wake na pia tofauti na yuleeee bidada niliye mkuta jikoni.

Kiukweli nilichukizwa kile kitendo cha shemeji kubadilia wasichana watatu ndani ya mwezi mmoja, nilimhoji mchumba wangu, kwanini kaka yake nafanya vitendo vile mbele yake na yeye mdogo mtu hachukui hatua hata ya kumkanya? Pale sio ghetto bali ni nyumba ya familia, heshima inatakiwa kuwepo, yaan nilionekana mwiba make kidogo nichakazwe reception.

Kitendo kile ninanitatiza sana, kama kaka mtu anaweza kufanya vile mbele ya mchumba wangu na mchumba wangu haonekani kuchukua hatua wala kuchukia si hata mchumba wangu pia anafanya hayo????? Yaan nimekosa imani naye tena nahisi hata mimi nisipokuwepo naye huwa ananifanyia hayo hayo!! As "Birds of the same feather flock together."

Naomba ushauri wenu....

Ndimi Dada Hawa C/O charminglady

Hongera kwa kupata mchumba na kudumu naye kwa muda wote huona pole kwa yanayokutokea.
Bold 1: miongoni mwa migogoro ni pamoja na yeye kukusaliti?
Bold2: inaweza kuwa kweli au isiwe kweli. Huenda alionaunataka kumfanya akosane na kaka yake. kumbuka kaka yuko kwenye nyumba ya mdogowake. hivyo mchumba wako Kumkanya/kumuuliza kaka yake juu ya jambo hilo kungeweza kutafsiriwa kuwa mchumbawako anamkontrol kaka yake na kuleta mtafaruku mkubwa ndani ya familia. Huwezi kujuawamefikaje hapo walipo.
Ushauri: Chunguza hali ilivyo kisha listen to your heart na chukuauamuzi
 
Kuna jambo unaweza kuwa hulioni

Ingekuwa huyo ni rafiki na sio ndugu ningeweza kuipa uzito kidogo kauli yako
Huyo ni ndugu yake wa damu
Tena ni kaka yake
Halafu hapo ni kwao,sio kwake

Kuna kitu umekisoma hapo?
Au bado?
 
Kwa nini ukapike na kusafisha nyumba wakati haujaolewa? Source lara 1

Yaani hata ukiachana na huyo aneyefata nae atakukimbia tu akijua wewe hauna akili ya kufikiria.

Sio tu waoaji hakuna hata waolewaji pia hakuna kama wadada wenyewe sio tu kusoma hawajui bali hata kuangalia picha hawawezi.

Tulia kwenu subiri uolewe ndio ukapike na kupakua..

Wanaume tunajuana, na nina uhakika 100 parcent Mchumba wako nae anafanya hivyo hivo,, ndege wafananao wanaruka pamoja

Kwa nini mnapenda sana kugeneralise mambo? Ushauri huu umejaa ukakasi.

Mosi house keeping ni jukumu la mwanamke na kabla hujamuoa ni sahihi kwa yeye kuyafanya majukumu hayo kwani ndio rehearsal ya ndoa.

Au nyinyi mnataka boyfriend wake ndio apike wakati mamito yupo mjengoni?

Kuhusu umalaya hiyo ni fani na maumbile ya watu si kweli kwamba ndege wafananao huruka pamoja.

Mimi nina rafiki yangu wa karibu sana yeye akiamuwa kwa siku moja anaweza akabadili mpaka wasichana watatu kusigina amri ya 6. Na tabia yake hii haijawahi kuniathiri mimi kimahusiano maana ukiacha tabia yake hii ya kupenda totoz ni kichwa cha uhakika na ni mashine ya kazi kwenye kazi zetu.

Mwanamke wakunishauri kukatiza urafiki wangu na mtu huyu basi niko tayari kuachana na mpenzi wangu na si rafiki huyu ambaye machoni pa wazembe ni play boy ila machoni mwangu hii ni engene na mashine ya ukweli with unique iq.
 
Last edited by a moderator:
Kalunguine umenena vema! ila pia km hana amani km anavyosema ni bora achunguza ili ajue na kujiridhisha km na huyo mchumba wake anafanya hayo au laa...pia awe makini maana na magonjwa nayo ni mengi sana!
sisi waislamu tuna ambiwa hivi,mfikirie mwenzio vizuri...hata kama umemuoana mwanaume na mwanamke wanatoka kichakani jiambie ya kuwa walikwenda kila mmoja kivyake pale kichakani kutafuta mbuzi wao aliyepotelea kichakani na wakakutana kwa bahati mbaya..hata kama wanatokea guest na ukawaona,jiambie ile ni nyumba ya wageni na wametoka pale kutazama mgeni wao aliyefikia pale...ryt? Maadamu hujamfumania mchumba wako,uache hisia mbaya,ndoa na mahusiano mengi duniani yamekufa kwa sababu ya hisia mbaya,sio kwa sababu za ukweli...take it from me!
 
Last edited by a moderator:
na hili la eti mwakani tumepanga kufunga ndoa si ajabu lipo kichwani mwako

kidume hakina hata taarifa kuwa kinakuoa mwakani,mnapishana kumfulia na kumpikia tu hapo
boss umenikumbusha zamani watu tulikuwa tunawah kwenye nyumba za ma bf kupanda maua, na kufagia eti ili uolewe uonekane material wife.

Siku ukija kushtuka mwenzio jana yake kamkamata demu mwingine chagua bega, yuko ndani na yale maua ulopanda ndo yanapendezesha nyumba ya mwanamke wingine............
charming lady
acha mambo ya kwenda kumpikia bf wako kwake. Kama anataka msosi mtamu mwambe kabisaa nitakupikia nyumban kwangu njoo ule ukiona vipi basi acha ila siji kupika wala kufua kwako.
Kwanza bf usimwendekeze sana manake utamlemaza anataka msosi mtamu ajipikie hawez akapanage folen kwa mama ntilie full stop

nawajua rafiki zangu ambao walipatwa na hasira ahadi kutaka kuchoma moto nyumba za ma bf wao kisa wamepanda maua usiku mtu anachukua demu mwingine na huyu anamchukua kama mke kabisa.
Weweee renalda na jasmine nimewakumbka sana
 
Last edited by a moderator:
The boss kachora rula ya chuma. Ukweli ni huu, kuna asilimia kubwa sana ya boyfriend wako kutokuwa mwaminifu na ndiyo maana anashindwa kumkemea kaka yake uovu wake. Halafu kwa nini aishi na kaka yake?? Kama hana kazi si amtafutie hata kamtaji akaanze maisha yake taratibu ili kama ufuska akaufanyie kwake??

Hebu hoji jambo hilo kwa undani na kama utaendelea kutishiwa kupigwa uamuzi ni wako uendelee au usieendelee.

Asante mkuu... huku kaka mtu anafanya kazi. Bidada aliwahi kuhoji kwanini kaka mtu asiende kujitegemea?? Mchumba alimjibu kuwa anaogopa kumwambia labda amwambie mama yao ndiye amueleze issue ya kujitegemea! Thou bidada haafiki hiyo kauli!!!
 
Back
Top Bottom