Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

On JF:

wako kua unampenda? Je ni kitu gani watu kama hawa hupoteza au hupata faida wanapolificha penzi kwa mweza wake? Maana nimejaribu kulichambua hili swala sipati jibu...nasikia tuu kwa watu na...
1 Reactions
30 Replies
6K Views
Jamaa kagombana na mkewe.Kasusa kula,kurudi kazini kamkuta mkewe kavaa kanga imeandikwa"Ukisusa wenzio wala"ilipofika asubuhi mke kavaa kanga imeandikwa"ukitoka mwenzio anaingia" Jamaa akagoma...
6 Reactions
45 Replies
6K Views
Naikumbuka siku ile nilipoitwa nyuma ya nyumba kule kijijini kwetu. nikaambiwa nitanue miguu then wabibi flan wakanitazama kwa makini sana, ckujua kitu kilikua kinaendelea.... Baada ya cku...
12 Reactions
83 Replies
8K Views
Rafiki yangu amekuja na kuanza kunambia: "aise kuna mtu ananililia hadi nashangaa!..... nikamuuliza kwanini? akasema, mnamo mwaka 2005 nilifahamiana na binti mmoja jirani yetu na tukajikuta...
0 Reactions
1 Replies
893 Views
Habari wana Jamvi!, ni jambo lisilofichika kwamba suala la kumpata mwenza mwenye mahitaji yanayo fanana au yanayokaribiana kuwa sawa ni jambo gumu..... Hivyo kwa kuzingatia hilo najitokeza kwenu...
0 Reactions
24 Replies
4K Views
Pole na kazi dadaangu Mie ni mama wa watoto wawili wakike mmoja yuko 6 yrs na mmoja 1 yrs nimefunga ndoa na mme wangi miaka saba iliyopita,ninafanya kazi ,najipenda naipenda family yangu pia...
1 Reactions
76 Replies
13K Views
Unapo amka asubuhi unakuwa na mawazo ya kimajukumu na kabla hujaondoka kwenda kazini unatakiwa kumwambia mkeo maneno mazuri sana ambayo yatamfanya afurahi.
0 Reactions
6 Replies
7K Views
Wadau,hivi kale kawimbo aliimbaga nani?Kanasema hv"mkunwa na mkunaji muona raha ni nani?Nimekasikiliza lakn sijapata jibu hivi ni nani hupata Monde(Utamu)?...
2 Reactions
71 Replies
9K Views
Salaam wakuu, Kwema? Ishu yenyewe ni hivi, imagine wewe ni mwanaume ambaye una bestfriend wa kike ambaye mmekua marafiki (close friends) kwa kipindi cha muda mrefu mpaka imefikia hatua kwamba she...
1 Reactions
22 Replies
2K Views
Mimi ni mwanamke nina miaka 37 sasa hivi,nimeolewa na nina watoto watatu miaka 17,13 & 6yrs.Nimeishi na mume wangu kwa miaka 18 sasa hivi,mume wangu ni maasai wa mjini sio wale wavaa lubega...
0 Reactions
38 Replies
3K Views
Katika vitu naona kuna makosa makubwa yanafanyika ni hili kawaida naona Baadhi ya wanaume hupata shida sana ya kuishi na wapenzi wao kwa mda mrefu na pengine kuona anamchoka mpenzi wake mapema...
7 Reactions
20 Replies
3K Views
IGWEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEE!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!! Ujue mtu unaweza kuwa na stress ukaona mambo yako hayanedi kichizi! Mchumba hupati, kazi hupati,mambo hayaendii kabisaaaa...
16 Reactions
95 Replies
9K Views
Kuna watu wamezaliwa na tabia ambazo kwa ulimwengu wa leo watapata shida sana. Hapa nawazungumzia wale ambao wamezaliwa huku wakiwa hawawezi kabisa ku-cheat lakini wakati huohuo hawawezi kuhimili...
22 Reactions
264 Replies
17K Views
Najua hii kitu sio sahihi kabisa lakini haimaanishi kuwa huwezi kupata zuri kwenye hiyo kitu Ni muda mrefu sana jambo hili limeshajadiliwa sana kama linawezekana kuzuilika Wapo waliosema...
5 Reactions
75 Replies
6K Views
natafuta binti mrembo anaejiheshimu ili awe wife kama una vigezo nicheki kwa 0755919162
0 Reactions
0 Replies
726 Views
Una mchumba ambaye mmeshatambulishana pande zote kwamba mtaoana. Mko pamoja kwa miaka miwili na kipindi chote mmekuwa mkifanya mapenzi kwa condom na kipindi chote mmekuwa waaminifu kwa kila mmoja...
0 Reactions
18 Replies
2K Views
Jamani msaada, mimi uwaninaota mara kwa mara nafanya mapenzi na mwanamke mwenzangu na ninapata utamu kuliko nikidoo na my husband, nifanyeje jamani as I love my hubby na nina 2 kids, help
0 Reactions
26 Replies
4K Views
Kila mtu anatamani kitu fulani anachokipenda hata kama wakati mwingine inaonekana haiwezekani au ni vigumu kukipata kitu hicho, hapa hoja ya msingi ni kwamba ktk fikra zako huwa unaona/unawaza ni...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
kwanza ningependa kuwapa pole kwa majukumu ya kila siku wana jamii wenzangu,,, pili ningependa kuwapongeza wale wote wanaochangia kwa moyo mmoja na wa upendo pale mmoja wetu anapoleta tatizo...
3 Reactions
51 Replies
8K Views
Ebana eeeh! Hospitali ya Mkoa Moro, ka jioni hivi, nimekutana na msala na nikakumbuka umuhimu wa suruali yangu ya jinzi. Kuna vinesi vitatu vimepita mbele yangu vimevaa hizo mini-gown, na...
1 Reactions
23 Replies
4K Views
Back
Top Bottom