condorezaraisi
JF-Expert Member
- Sep 4, 2011
- 225
- 116
Pole na kazi dadaangu
Mie ni mama wa watoto wawili wakike mmoja yuko 6 yrs na mmoja 1 yrs nimefunga ndoa na mme wangi miaka saba iliyopita,ninafanya kazi ,najipenda naipenda family yangu pia nampenda sana mme wangu na nimekuwa nikimuonyesha kwa vitendo kuwa nampenda
Tatizo lililonifanya nikuandikie ni hili ,baada ya miaka miwili ya ndoa yetu mme wangu amekuwa busy na mambo yake ,kurudi nyumbani usiku wa manane amelewa,na akiwa huko alipoenda mpaka usiku wa manane nikimpigia simu ananiambia anapajua nyumbani ..mwenzenu silali nakosa usingizi mpaka anaporudi nyumbani ndio naweza kupata usingizi japo kidogo ,na akiwa mbali nikimtumia meseji za kumwambia mme wangu nakupenda,mme wangu nakumiss ,nachojibu ni najua au asante ..Nashangaa mwenzenu maana nachotengemea ni nakupenda pia au nakumiss pia ,lakini yeye jibu ni "najua" ,Pia usipompigia saa nyingine usitegee yeye akupigie Linapokuja swala la matumizi ya ndani mpaka nimuombe hawezi sema huu mwisho wa mwezi nitoe hela kwa ajili ya matumizi ya family ,nakuomba omba sometimes inakuwa tabu ni mtu gani haya mtu anakuwa hajui mahitaji ya familia yake
Nimekuwa mpweke mpaka naona kama nadhulumiwa penzi langu ,natamani kusikia neno la nakumiss ,nakupenda pia .mme wangu ananifanya nianze kuwa mawazo mabaya
Nifanyeje wapenzi wangu naomba msaada wenu kimawazo
Muathirika
Pls usiweke email yangu
Ushauri wangu
Pole sana dada haya yote ni majatribu ya ndoa jaribu kuwashirikisha wasimamizi wa harusi yenu wamwite mkae na kutoa kero zinazokusumbua..inaweza kuwa msaada
***********************************************
source:JanetFashionandStyles: Dear JFS:Nampenda mme wangu lakini hataki kuyapokea mapenzi yangu nifanyeje?
Wanaume mnataka mpendweje ???:A S confused::A S confused: