Jumong S
JF-Expert Member
- Jul 3, 2013
- 7,450
- 10,807
Ebana eeeh!
Hospitali ya Mkoa Moro, ka jioni hivi, nimekutana na msala na nikakumbuka umuhimu wa suruali yangu ya jinzi. Kuna vinesi vitatu vimepita mbele yangu vimevaa hizo mini-gown, na vimejazia ki-aina. Kimoja kikajigongesha(kikanipamia) mbele yangu na kunigusa. Kwa kuwa nilikuwa nawaangalia kihisia tangu kwa mbali aliponigusa tu, ayaaa viungo vilivyolala vikaamka baada ya kusikia, kokolikooooo! Mbaya zaidi si mmoja akanisalimia, "za jion kaka..." Kidogo nisahau wanaitikiaje!
****
Ndugu manesi, vaeni nguo za kujisitiri, epukeni vimini, mnasababisha mengi nyuma ya pazia. Uzinzi si lazima nikugegede, hata nikikutamani tu washaniambia...nimezini. Halafu hapa hawajali hata kama dini zao zinazuia kuvaa uchi! Ningekuwa mkuu wenu wote ningewashonea madela na hijabu!
Sent from my BlackBerry 9220 using JamiiForums