Unafanyaje...!!!???

Unafanyaje...!!!???

donlucchese

JF-Expert Member
Joined
Mar 23, 2011
Posts
17,258
Reaction score
22,140
Salaam wakuu,
Kwema? Ishu yenyewe ni hivi, imagine wewe ni mwanaume ambaye una bestfriend wa kike ambaye mmekua marafiki (close friends) kwa kipindi cha muda mrefu mpaka imefikia hatua kwamba she can confide in you kwa shida yoyote au kitu chochote kinachomsumbua. Mtoto wa kike anakueleza kila jambo lake kwa kua anakuamini kama rafiki mkubwa, hususan katika maswala yake ya mahusiano. Sasa kipindi mnaanza urafiki hadi sasa mmefikia kua marafiki wakubwa, there is something you haven't been telling her: umejikuta katika muda wote huo umefall in love with her lakini unashindwa kumwambia because you know she'l always see you as a friend only. Unatamani sana kumwambia ukweli lakini unahisi kama ukiweka hisia zako wazi kwake, possible scenarios ni either kupoteza urafiki na trust which took years to build or atachukulia kwamba you are just joking (hajawahi kuwaza kwamba unaweza ukampenda kimapenzi).
Currently amekuja kukuomba ushauri kuhusu mahusiano yake kwani kila kukicha ni migogoro na mpenzi wake ambaye si mwaminifu na hata nawe pia unaijua vyema tabia ya huyo jamaa na unaumia sana kuona jamaa anachomfanyia n' you wish you could get that chance you know. Je, will you let your feelings cloud your judgment wakati unampa ushauri kuhusu uyo bwana wake au utamwambia ajaribu kuwork out things na huyo mpenzi wake? and suppose labda ameamua kuchukua uamuzi wa kuachana na huyo mpenzi wake, how can you tell her how much you love her wakati yeye anakuchukulia only as a friend and nothing more? Will you willingly risk the friendship by telling her how you feel 'bou her? Let's discuss mates!
 
mmh nimepotea njia hii inawahusu wa kiume kumbe!!!
 
Mkuu hivi haya mambo huwa yanatokea kweli katika maisha yetu ya Kimatumbi au umetunga tu?

Ili kama umetunga na mimi nijaribu kutunga ushauri wa fasta fasta hapa...
 
napita tu ila ishu hii inakuhusu wewe? Na unaonekana unaumia sana roho kaza buti utampata?
 
Mkuu huvi haya mambo huwa yanatokea kweli katika maisha yetu ya Kimatumbi au umetunga tu?

Ili kama umetunga na mimi nijaribu kutunga ushauri wa fasta fasta hapa...

Mkuu, clearly ndio maana nkaanza na imagine, lakini pia ni possible scenario ktk maisha. Might have not happened to me, lakini haimaanishi haiwezi kuto-mtokea someone else!
 
Mkuu hii mambo naona labda ipo sana kwa wenzetu ngozi nyeupe. .

Ila sijui labda kuna wadau wengine wanaweza kuwa wana ujuzi katika hili ngoja niwapishe...

Haha, pamoja mkuu!
 
Ndg yangu don, nataka nikupe tu kaushauri,
When yu are with the opposite sex mara nyingi wao wanajua kuwa utam advance kidogo hata angalau akatae. When she sees that yu are taking her as your sis basi moyo wake huweka utando ambao unakaaga juu ya supu ya mafuta mengi au chai ya maziwa mazito. I hope yu will understand ma examples. Sio kwamba kakuchukia no but sasa anakuogopa na kukuheshimu pia.
In your case, umechelewa mno, anakuheshimu kama modal wake. anataka umwelekeze cha kufanya tuu. Sasa, kama unataka anzia mbali, mkaribishe kwako, weka wimbo wa taratibu, mwandalie vitu vya kupika eg chai au lunch. Usiwe na haraka naye, akiisha andaa meza, before taking it, just throw it on her. Yaani mpasukie wazi lililo moyoni. Mwambie umekuwa ukimwangalia tangu aanze huo upishi mpaka anavyo kukaribisha mezani, ukashindwa uzalendo.
Give her assurance that yu are serious na kuwa unataka umchukue awe wako.
I tell yu, jibu haliko mbali na hilo ndo lenyewe
 
Waswahili wanasema:
'Uoga wako ndio umasikini wako'
...
Ukiwa mjinga utapoteza urafiki hata si uongo!
Kuna njia wanaiitaga 'Indirect way' waikumbuka hii?
 
We domo zege inaonekana uliposhindwa kueleza hisia zako za mapenzi ya kugegedana ukaishia ni rafiki tu..sasa tabu unaipata wanaume wenzio wanavyokua wanamchukua..na mbaya zaidi ukute unawazidi vitu vingi tu..
 
Kama bongo movies tu, akija analia unamkumbatia na ka-kiss kadogo mnakula na tunda then, .......9 months later..........
 
Ndg yangu don, nataka nikupe tu kaushauri,
When yu are with the opposite sex mara nyingi wao wanajua kuwa utam advance kidogo hata angalau akatae. When she sees that yu are taking her as your sis basi moyo wake huweka utando ambao unakaaga juu ya supu ya mafuta mengi au chai ya maziwa mazito. I hope yu will understand ma examples. Sio kwamba kakuchukia no but sasa anakuogopa na kukuheshimu pia.
In your case, umechelewa mno, anakuheshimu kama modal wake. anataka umwelekeze cha kufanya tuu. Sasa, kama unataka anzia mbali, mkaribishe kwako, weka wimbo wa taratibu, mwandalie vitu vya kupika eg chai au lunch. Usiwe na haraka naye, akiisha andaa meza, before taking it, just throw it on her. Yaani mpasukie wazi lililo moyoni. Mwambie umekuwa ukimwangalia tangu aanze huo upishi mpaka anavyo kukaribisha mezani, ukashindwa uzalendo.
Give her assurance that yu are serious na kuwa unataka umchukue awe wako.
I tell yu, jibu haliko mbali na hilo ndo lenyewe

Daah mkuu umeongea vitu Ilmatic sana! Nimekusoma
 
We domo zege inaonekana uliposhindwa kueleza hisia zako za mapenzi ya kugegedana ukaishia ni rafiki tu..sasa tabu unaipata wanaume wenzio wanavyokua wanamchukua..na mbaya zaidi ukute unawazidi vitu vingi tu..

Duuh, mkuu kweli ur wrong left!
 
Back
Top Bottom