Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

On JF:

Habar wana JF.! Kna msichana ambaye tunapendana sana na tushahaidiana kuoana.. kipindi nko nae tulikua tunapendana sana lakin badae yy alienda mwanza kwa wazaz wake sasa yapata miez tisa...
0 Reactions
17 Replies
2K Views
Najua kua ni maumbile lakini inachukiza kuona janaume linakua na wowowo kizembe kizembe wakati ukikomaa na zoezi zigo linapotea kabisaa,au mnapenda kushindana na madada zetu? samahani kama nimewaboa.
1 Reactions
8 Replies
2K Views
TAKRIBANI wiki tatu nilikuwa nafuatilia mkasa wa dada Easter Deo. Hakika mkasa huo ulinigusa sana nami nikashawishika kusimulia yaliyonikuta katika maisha yangu. Naamini kuwa kuna baadhi ya watu...
2 Reactions
36 Replies
34K Views
Hbr za leo ndg zangu wana JF! Nilikuwa na mpenzi ambaye tulikuwa ktk uhusiano kwa takribani miaka 5 hivi. Nilkuwa tayari nshakuwa na maamuzi ya kumfanya kuwa mke wangu kwa kufuata taratibu zote...
0 Reactions
37 Replies
5K Views
utafanyaje ikiwa anayestahili kukufuta machozi ndiye anayesababisha ulie?
0 Reactions
23 Replies
2K Views
aliye tayari ani PM
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Hivi mtu akikuolea mke anaruhusiwa kumtumia badala yako eeh..??
0 Reactions
15 Replies
1K Views
Nimekua na uhusiano na mdada mmoja kama miezi sita hivi, lakini tatizo lake ni kuwa hataki kabisa niwe na contacts za mashost zake.Sometime nikimpigia anasema niwasalimie ,yaani akiwa na rafiki...
2 Reactions
70 Replies
10K Views
Kuna Wanaume mnaachika sio kwa sababu hamna hela,au mna tabia mbaya,ila kwa sababu mkoo too serious, not romantic at all na ratiba zenu sio za kimapenzi hata kidogo. Muda wote mnawaza...
3 Reactions
19 Replies
2K Views
MWANAMKE mkazi wa kijiji cha Mahango kata ya Madibila wilayani Mbarali mkoani Mbeya aliyefahamika kwa jina la Jitihada Mamga(20) ameuawa kwa kuchomwa kisu na mumewe aliyefahamika kwa jina Gervas...
0 Reactions
19 Replies
3K Views
Hiki nikipindi cha mavuno!tumtolee mungu dhabihu za kweli zitako mpendeza machoni pake::;tuwe kama HABILI nasio kama KAINI,((( MWANZO 4:3-7 ))) NA ((( WAEBRANIA 11:4 ))) Neno la Mungu liwe taa ya...
0 Reactions
0 Replies
668 Views
Nilitakiwa kingia kibaruani saa 18:00, na sikuhiyo pia nilikuwa ninamiadi ya kukutana na mdada m-moja niliekuwa nimemtingoza kwa muda wa kama miezi 3 mfululizo pasipo na mafanikio. Siku mbili...
1 Reactions
43 Replies
5K Views
Habari wana MMU, Nimesikia na kushuhudia mengi na kupokea ushauri juu ya kuyumba kwa ndoa yangu lakini napenda kukiri kua wengi wamekua wakinikatisha tama na kunitaka nijiengue .hivyo naombeni...
1 Reactions
41 Replies
5K Views
Nimekulia malezi ya Dada yangu, Mama yetu alituzaa watoto 4, kaka zangu 2, dada yangu na mimi, mimi ni mtoto wa mwisho kwa wazazi wangu, Baba yetu baada ya kuamua kuoa mke mwingine mama alitulea...
4 Reactions
51 Replies
56K Views
Kuna ----- mmoja alitoroka kazini wakati bosi wake hayupo ofisini,alipofika kwake kamkuta bosi akiwa na mke wake (huyo -----),----- alirudi mbio ofisin huku akisema namshukuru mungu maana bosi...
0 Reactions
6 Replies
1K Views
cha usiku nala mie!!!! habari zenu wana mmu. swala ambalo kwangu limenipa wazo la kuwazia ni kuhusu hii tabia yetu vijana kama inavyoelezwa na physicians, " shake well before use ". kwanini...
1 Reactions
4 Replies
922 Views
Npo kwenye basi naingia jijini dar. Pembeni yangu kuna jamaa anaongea na demu wake hapa. Anamuwakia sana na kasema akirudi tu nyumbani huyo mke aondoke lasivyo anamuua. Mke anabisha anasema...
2 Reactions
69 Replies
6K Views
Nimegundua kwamba mwanamke mwenye mafanikio na mwenye kupewa heshima kubwa kutokana na mafanikio yeke, hawa olewi katika muda muafaka, au hawa olewi kabisa. Kutokana na maelezo yao wanasema...
1 Reactions
80 Replies
8K Views
Wivu siku zote hauzuiliki,mimi naamini ukishakuwa kwenye mahusiano tu, naweza kusema wivu ni chumvi kwenye relationship, apa naulizia tu kama ni kawaida mtu kumuonea wivu mke/mme wa mtu,je ni...
0 Reactions
11 Replies
4K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…