Hi hope mko poa i want 2share dis with u guys coz dis things is killing me m in relationship with dis guy nampenda sana n its abt 3month now 2ko pamoja tatizo linakuja jamaa ana demu yupo kigoma...
Habari zenu wanaJF...mm ni mwanaume,mkristo mwenye umri wa 30yrs nani, natafuta mke .
SIFA ZA MKE...
Asiwe mrefu sana wala mfupi
Awe black beauty
Elimu kuanzia form 6 na kuendelea
Awe mkristu
Awe...
Hbr wanajf
mimi ni dereva namuendesha mke wa boss yangu toka nimeanza kazi hii yapata mwk mmoja sasa mke wa boss alianza mitego nikawa namvumilia kunasiku tulisafiri kwenda mtwara kwny biashara...
Ndugu zangu leo ni siku muhimu sana kwangu, Namshukuru Mungu kwa pumzi hii aliyonipa maana kama si yeye nisingeweza jambo lolote. katika miaka hii niliyoishi hapa duniani kuna mengi mazuri...
Uganda yapiga marufuku sketi fupi, ponografia
Bunge la Uganda limepasisha muswada unaopiga marufuku vitendo vinavyochochea ngono, ambao pamoja na mambo mengine unawazuia wanawake kuvaa sketi...
HII POST NIMEIKUTA KULE KWENYE UZI WA MASUALA YA AJIRA, AKATI INAHUSU MAPENZI, NIKASEMA NI VEMA NA HERI IJE HUKU MMU, KULE WATU WANA STRESS ZA AJIRA HAWATA ITENDEA HAKI KABAISA... NAOMBA PIA...
^^
Kama kuna taasisi ina waigizaji wazuri basi ndoa ni mojawapo! Kuna wakati wananuniana tu, wanatazamana kama watani wa jadi, na kuwashana vibao vya hapa na pale ilimradi tu maigizo ya maisha ya...
Kuna binti nilimtamkia dhamira yangu ya kuwa nae kimapenzi.......... Lakini majibu yake yakawa hawezi kuwa na mimi kwa sababu ana mtu mwingine tayari..... Sikutaka kumsumbua sana, hivyo yakabaki...
Nakumbuka miaka sita iliyopita, nilizinguana na mwandani wangu, nikaona isiwe tabu, nikajikongoja mpaka Sudani(Temeke), nikaingia kwenye uchochoro wanakokaa dada zetu wale, baada ya kupita mara ya...
Inawezekana kupendwa na kila mtu?na inabidi mtu afanyeje ili apendwe na kila mtu? msaada wa maoni wana MMU. Upendo huu sizungumzii ule wa romance hapana, naongelea kule kukubalika kwa kawaida.
Nimekuwa nikimshauri ni nini ninahitaji yeye afanye: Awe humble, awe anaongea na mimi sauti ya chini, awe ananisikiliza kile ninachoongea na hata kama ni kukanusha/kukosoa basi awe anafanya...
Nimekuja kugundua wanaume wengi ni wafuasi wa punyeto.
Baadhi yao wameoa na wengine ni ma single.
Punyeto husababisha unafika kilelen mapema na unachoka kabla mwenza wako hajafika kileleni...
Inapotokea mtu akawa msaada kwa mtu mwenye shida fulani mara nyingi utasikia maneno kama 'nisaidie nikusaidie' sana sana kwa wanaume.
wengi ambao wanakuwa wameonelea kwamba hawana jinsi...
wadau,mi waifu wangu sio mtu wa mitandao kabisa japokuwa ni graduate na ana kazi yake.hata acc fb hana,anapenda vitu simpo simpo sana kasoro kuvaa ndo anapenda avae vizuri.amekuwa akiniona mi...
Ni mwaka wa tatu ama wa nne hivi toka mume wa wifi yangu atengane na mke wake. Hawa watu waliona kanisani tena kwa hiyari yao. Hadi hivi sasa wana watoto watatu wazuri tu. Mkubwa yuko chuo Kikuuu...
Haijawahi kutokea mkoa na hasa jiji hili kupata harusi kubwa na yenye shamrashamra kebekebe kama ya leo.
Member mwenzetu YNNAH ametoroka rasmi kambi ya mabachela. Bila kumung'unya maneno...
Kwa moyo mkunjufu napenda kuwasalimuni nyote mabibi na mabwana...................!!!!!
Fridays are the hardest in some ways:u're so close to freedom (ngoja niwawahi kabla kila mtu hajaanza hii...
Habari zenu wana MMU.kwa mara ya kwanza nawashirikisha ktk siku hii muhimu kwangu;siku ya kuzaliwa kwangu ambayo mimi kadoda11 niliwasiri Duniani.Ilikuwa ni alasiri ya alhamisi,tarehe 19 mwezi wa...