Kumekuwa na malalamiko ya wadada wengi siku hizi kulalamika rafik zao wa kike wamewaibia wapenzi au waume zao mfano malalamiko ya wema kuwa kidoti kamuibia diamond na baadaye penny kamuiba...
npo mtwara kwa sasa, nasoma saut ya mtwara nahitaji kupata mwanamke ambaye baadaye atakuwa mke!awe na umri wa miaka 23 had 26 na awe anaishi mtwara,lindi au iringa!alie tayar anitafute kwa namba...
Watu wote wenye wapenzi wasio wake/waume wao wa halali ni sawa tu na wacheza mpira waviziaji, mara nyingi wakikamata mpira wafunge kipenga huwa kinapulizwa wameotea hata kama keshafunga goli, mimi...
Wakuu, hapa niko kitandani hospitali nimeshafanyiwa tohara (kukata govi) Leo asubuhi, hii ni kutokana na michango yenu muliyoitoa katika threads zangu za hapa MMU.
Wadau wezangu wa MMU naomba...
Wadau,
Hivi hao watu wanao pasifu Tanga kuwa ni mahali ambapo mapenzi yamezaliwa uwa wana maanisha au bi vipi?!!!
Kwa sasa nipo Tanga, kwa muda wa wiki nzima sasa, ila sijashawishika kabisa...
Mshikaji wetu mtaani alimaliza mwaka kwa kunywa sumu eti kisha msichana wake kamlia pesa then akamtosa na kuamia kwa rafiki yake kwasababu mshikaji kachacha lakini mshikaji akizipata demu anarudi...
Nini nifanye kila ninayejitahidi kumuonye mapenzi ya thati ananiona zoba na kunikimbia, sasa mwaka huu nabadili mchezo. Nimechoka kuumizwa ngoja na mm niumize 2one kama ni fresh hamna kupenda tena...
Napenda Mungu amtimizie kila mmoja mawazo na Nia/malengo yake sawa sawa na neno hili kwa siku ya leo 01.01.2014
''Na Amani ya Mungu ipitayo akili zote Itawahifadhi MIOYO yenu na NIA zenu katka...
Kama title isemavyo ....et wana JF hiv ni kweli wanawake wanaonekana ni wazur/warembo/muonekano mzuri ktk jamii ndio wnaongoza kwa umalaya kwa asilimia kubwa ?....
Naomba kukaribishwa upya katika jukwaa hili maana nilistop kwanza kutokana na matatizo ya mie na my ex wangu sasa nipo mbioni kupata mwingine hasa ktk jukwaa hili naomba kukaribishwa
(In no particular order...
Happy new Year JF!, Nawapendaje from the bottom of my heart nimewamisije? from the bottom of my heart everytime I'm back here I feel at easy I feel home I feel relaxed...
wana jf,huu ndo mwaka niliojipangia kuoa,ni kweli na wazi kwamba wasichana hawana ukweli ila ni matarajio yangu kuoa.kwa mdada aliyeko tayari na mwaminifu naomba 2wasiliane,asiwe mtu wa k'njaro au...
saluuuuuuuuuuuuuuuuuti
heshima kwenu wadau kwanza niwape pole na uchovu wa xmas
back to the topic wakuuu mwezenu naumwa jino mpaka limenibadilisha sura nimenona upande mmoja yaaani...