nimefanya tohara, niombeeni nipone haraka

nimefanya tohara, niombeeni nipone haraka

Gogle

JF-Expert Member
Joined
Feb 26, 2013
Posts
1,495
Reaction score
871
Wakuu, hapa niko kitandani hospitali nimeshafanyiwa tohara (kukata govi) Leo asubuhi, hii ni kutokana na michango yenu muliyoitoa katika threads zangu za hapa MMU.
Wadau wezangu wa MMU naomba mniombee nipone haraka

Mods naomba musiihamishe wala kuiondoa hii thread hapa ili nipate maombi kutoka kwa wadau wezangu.
 
Hiyo ya ukubwani sijui maumivu yake sijui niseme pole au hongera!!!!!! pokea Hongera na furahia ulimwengu wa digtal watoto warembo kama Heaven on Earth (kwa tunao mfahamu vizuri) waweza wapata sasa hata kunako mwanga si kuzima zima taa!!!!!!!
 
picha....
Kinyume na hapo maombi yangu hupati.
 
Wakuu, hapa niko kitandani hospitali nimeshafanyiwa tohara (kukata govi) Leo asubuhi, hii ni kutokana na michango yenu muliyoitoa katika threads zangu za hapa MMU.
Wadau wezangu wa MMU naomba mniombee nipone haraka

Mods naomba musiihamishe wala kuiondoa hii thread hapa ili nipate maombi kutoka kwa wadau wezangu.


Otate nane! yaani umeondoa utamu woteeee! Biashara ya sperms itakufa.
 
Karibu kwenye jukwaa la siasa hadi upone maana ukienelea kuwa MMU tegemea kupona aada ya miezi nane
 
kwa iyo apo saizi umevaa sketi....heheh wewe si bure ganzi bado haijakuisha.subiria mziki wake usiku wa manane.utaomba barafu!!!!
 
kumbe ipo hadi ya ukubwani mi najuaga ni kwa watt tu duh pole
 
Pole sana mkuu. Ila cpati picha Dr alitumia vifaa gani kumkata mtu mzima hiyo kitu. Na hongera pia utakuwa mwanaume wa kweli sasa.
 
na umri huo kitu kikijinyoosha inakuwaga shughulii!!!!
 
Nikipona tu, sperm donor nitaendelea kupatikana kwa anayehitaji
 
Back
Top Bottom