Mapenzi ya kuvizia hovyo kabisa.

Mapenzi ya kuvizia hovyo kabisa.

JEKI

JF-Expert Member
Joined
Aug 16, 2013
Posts
4,845
Reaction score
2,968
Watu wote wenye wapenzi wasio wake/waume wao wa halali ni sawa tu na wacheza mpira waviziaji, mara nyingi wakikamata mpira wafunge kipenga huwa kinapulizwa wameotea hata kama keshafunga goli, mimi pia ni mviziaji kama kina inzaghi, nina toto langu rembo tu ila bado lipo kwao, baada ya wazazi wake kusafiri kwenda kijijini basi tukapanga mikakati ya kuupokea mwaka mpya, kuwa tutaenda out kujirusha na mambo mengi tu na zaidi ya yote tutalala wote kuigiza maisha ya mke na mme. Cha kusikitisha leo mapema asubuhi wazazi wake wameingia ghafla toka kijijini tofauti na mipango ya awali ambapo walipanga kurudi tarehe 5 mwakani, mipango yote tuliyopanga imeyeyuka kabisa.
 
daaaahhh pole!!!!!!!!!!!!!!!!!!umenawa tu hukufanikisha kula..............
 
katafute kazi za ndani kwao!

i hope utakula mpaka ukinai!

jitoe kwa wiki moja tu halafu sepa!

muige mzee wa kifungo huru!
 
Ushaingizwa mjini wewe hakuna cha wazazi kurudi ghafla......
 
Pole sana ndgu, hahahhahaha kwa hyo umejikuta utaupokea mwaka peke yako daaah, inauma sana aseeee
 
Hahahahaaaaaaaa pole sana wengne tunalala nao hata wiki mbili then anaenda kwao,so hiyo dhana yako napingana nayo 100%

unatumia mbinu gani mkuu.
 
Ushaingizwa mjini wewe hakuna cha wazazi kurudi ghafla......

hapana mkuu, ni kweli wamerudi, nina uhuru wa kwenda kuhakikisha na pia naweza kukaaa naye mitaa ya kwao ila kutoka ndo ishakuwa tabu.
 
katafute kazi za ndani kwao!

i hope utakula mpaka ukinai!

jitoe kwa wiki moja tu halafu sepa!

muige mzee wa kifungo huru!

kwa pale hakuna kazi ya mimi kufanya mkuu, wana house girl, bora wangekuwa na mifugo ningekuwa mkata majani.
 
unatumia mbinu gani mkuu.
Unamcoach tu kwa kumueleza ni kiasi gani ungependa kuwa na naye na unajisikiaje ukiwa naye huku ukionyesha hisia za hali ya juu atadanganya kwao kuwa anaenda kumsalimia rafiki yake ambaye hata wazaz wake wanamfahamu pengine huwa analala hapo kwao simple tu mbona
 
nikajua utaupokea mwaka ukiwa kwenye nyumba ya ibada kumbe utakuwa unazini?!!!!asante wazazi kwa kurejea ghafla.
 
kwa pale hakuna kazi ya mimi kufanya mkuu, wana house girl, bora wangekuwa na mifugo ningekuwa mkata majani.

kwanza niambie ni mkoa gani ili nikupe ushauri wa kiufundi zaidi!
 
hapana mkuu, ni kweli wamerudi, nina uhuru wa kwenda kuhakikisha na pia naweza kukaaa naye mitaa ya kwao ila kutoka ndo ishakuwa tabu.

Hujadhamiria wewe vitu vidogo tu vinakutisha.watu wanashinda chumba cha mkaa wanaibukia usiku kwani hujui vita ni mbinu?
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom