Tumalize ubishi,mwanaume uwa anaibiwa au anajipeleka mwenyewe.

Money Stunna

JF-Expert Member
Aug 9, 2011
13,070
2,000
Kumekuwa na malalamiko ya wadada wengi siku hizi kulalamika rafik zao wa kike wamewaibia wapenzi au waume zao mfano malalamiko ya wema kuwa kidoti kamuibia diamond na baadaye penny kamuiba diamond.

Na ata wengine umu ulalamika kuibiwa wapenzi wao. Je hao wapenzi uwa wanaibwa au wanajipeleka wenyewe?
 
Kifyatu

JF-Expert Member
Oct 12, 2010
3,385

Unajua, kuna makabila ya wafugaji (kama waMaasai) ambao wanaamini kuwa ng'ombe wote duniani ni mali zao. Wakiswaga ng'ombe zako hawaibi bali wanachukua halali yao.

Sisi wanaume tumeumbwa kufikiri kuwa wanawake wote (isipokuwa wazazi na ndugu wa karibu) ni halali yetu. The more you claim the better. (Wengi tunajistahi tu kwa ajili ya dini au jamii lakini ukipata mwanya, twende.)

JIBU: Wanaume hawaibwi wala hawajipeleki wenyewe. Wanatekeleza tu wajibu wao. Atakaepitia karibu tu - nyama.Najua nitaipata pata.
 
kabanga

JF-Expert Member
Dec 12, 2011
36,719
2,000
kila mtu anajingoesha kwa mwenzie,hapo jamaa anaona amalize tatizo ili aheshimiwe.....sasa kwenye kuibiwa yanatoka suala la ubunifu wa ndani ....
 
KakaJambazi

JF-Expert Member
Jun 5, 2009
17,832
2,000
Kumekuwa na malalamiko ya wadada wengi siku hizi kulalamika rafik zao wa kike wamewaibia wapenzi au waume zao mfano malalamiko ya wema kuwa kidoti kamuibia diamond na baadaye penny kamuiba diamond.

Na ata wengine umu ulalamika kuibiwa wapenzi wao. Je hao wapenzi uwa wanaibwa au wanajipeleka wenyewe?

Pia baadae uje na mada ya sisi huwa tunawachezea au tunachezeana?!
 
Viva89

JF-Expert Member
Sep 28, 2012
1,251
2,000
Kumekuwa na malalamiko ya wadada wengi siku hizi kulalamika rafik zao wa kike wamewaibia wapenzi au waume zao mfano malalamiko ya wema kuwa kidoti kamuibia diamond na baadaye penny kamuiba diamond.

Na ata wengine umu ulalamika kuibiwa wapenzi wao. Je hao wapenzi uwa wanaibwa au wanajipeleka wenyewe?

anajipeleka mwenyewe...mtu mzima huyo
 
Mashaxizo

JF-Expert Member
Jun 13, 2013
6,712
1,225
Kuiba: ni fraudulent taking, property of another, without her/his/their concent or justification and without bonafide claim of right!
...
So Mume, Mke or mupenzi hawawezi kuibiwa!

Kumekuwa na malalamiko ya wadada wengi siku hizi kulalamika rafik zao wa kike wamewaibia wapenzi au waume zao mfano malalamiko ya wema kuwa kidoti kamuibia diamond na baadaye penny kamuiba diamond.

Na ata wengine umu ulalamika kuibiwa wapenzi wao. Je hao wapenzi uwa wanaibwa au wanajipeleka wenyewe?
 
Tyta

JF-Expert Member
May 21, 2011
12,793
2,000
Na ata wengine umu ulalamika kuibiwa wapenzi wao. Je hao wapenzi uwa wanaibwa au wanajipeleka wenyewe?

tinna cute

JF-Expert Member
Sep 22, 2013
4,636
0
Hakuna mwanaume anaeibiwa bali anajileta mwenyewe akiwa na akili zake timamu,,,,,,,,,,,,, siwezi kuachia ngombe alienona eti kisa ana mpenzi or mume!!!!
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom