Tumeondokewa na mhandisi mtarajiwa wa mwaka wa pili (Thobias Paul) jana usiku ktk hospitali ya mkoa wa morogoro na mwili wake kusafirishwa leo kwenda Arusha kwa mazishi baada ya kuagwa na...
Mwanamke divosed na anamtoto mmoja, mwanaume ndo kwanza hajuwai hata kuonja maisha ya ndoa wala hana hata mtoto wa kusingiziwa, iv inawezekana kweli watu hawa wakaoana na kujenga familia yenye furaha?
Heshima kwenu wana MMU na jf kwa ujumla, naombeni mnisaidie kujua habari za CnaJina huyu mtu alinipotea tangu mwishoni mwa mwaka jana, kama kuna mtu anajua habari zake anisaidie, au dada yangu...
Call me staid, an old fuddy-duddy, or whatever...
But what I don't get about this Facebook foolishness is when I see married couples each having their own page(s).
I mean, for what? Y'all are...
Kuna dada mmoja ambaye anafuatiliwa kwa saana na kaka mmoja. Mwanzoni huyo dada alianza kuufungua moyo wake kama amkubalie,lakini kadiri walivyoanza kuzoeana huyo dada amegundua kwamba mwenzie...
Kuna watu wanashangaza sana. Yaani mtu umejiweka invisible humu halafu huchangii kwa sana siku hizi lakini kila siku unashinda kwenye PM.....
Ama kweli facts sometimes are stranger than fiction...
1) Sawa "Fine" Neno hili mwanamke anatumia kumaliza malumbano akimaanisha yeye yupo sahii unatakiwa kunyamaza.
2) Hamna shida "Nothing" Anamaanisha kitu fulani, unatakiwa kuwa na wasiwasi
3)...
Habari wanajamvi natumai mna asubuh njema.
Najua wengi wenu mnakumbna na matatzo mbalimbali ya kiafya kutokana na stail ya maisha tunayoishi kina dada wangap hawajawah pata matatzo ya UTI au...
Niaje waungwana
jana kama kawaida yangu ktk mishemishe za kusaka dough(pesa) ikafika muda wa kurudi hostel pande za mabibo nikakutana na bonge la saplaizi binti niliempenda kwa muda mrefu...
Mimi nikijana mwenye umri wa miaka 25, Niko chuo mwaka wa nne sasa ila natafuta girlfriend awe mwaminifu. Awe anaishi hapa hapa Dar es salaam. Pls if uko interested ni PM
Habari ya asubuhi wabunge wa bunge tukufu la MMU,siyo mbaya tukashea kidogo jambo hili
--------------------..
KILA anachotaka unampa, pengine ni zaidi ya watu ambao wako kwenye ndoa...
jana ktk pitapita zangu humu nilikutana na comment zenye chuki na hasira dhidi ya wanawake za huyu anaetumia id ya shebeneza! wanawake walimkosea nini? mbona amepotea tena? au tayari ameshapigwa...
Habari wana JF.
One of my workmates leo amepokea video clip ya ajabu sana toka kwa mkaka ambae sio mpenzi wake, wala close friend ila anadai alitambulishwa na boyfriedn wake. Wamekuwa wakichat...
Nimelitambua hili, wanaume wengi wanaamini mwanaume awezi fanya makosa katika mahusiano. Kwa mfano, Kama mtu akiazisha Thread akimzungumzia mpenzi wake ka mcheat, haraka wanaume watanza kumuinsult...
1). Kuongelea utajiri wa wazazi wako Mwanamke apendi kufahamu kuhusu alivyo navyo Baba yako Mama yako kwa sababu aendi kudate na wazazi wako.
2). Usijisifie idadadi ya wanawake uliotembea nao...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.