Shebeneza kulikoni?

Shebeneza kulikoni?

Sanoyet

JF-Expert Member
Joined
Apr 3, 2013
Posts
1,323
Reaction score
296
jana ktk pitapita zangu humu nilikutana na comment zenye chuki na hasira dhidi ya wanawake za huyu anaetumia id ya shebeneza! wanawake walimkosea nini? mbona amepotea tena? au tayari ameshapigwa total BAN? Mimi nina aleji na hili jukwaa la mmu ila huyo jamaa alinishangaza sana! kwa maelezo zaidi nitembelee jukwaa la habari na hoja mchanganyiko!
 
Sanoyet mbona likes given 0 mkuu?unamaanisha hakuna hata quote moja ya mwana jf iliyukukuna?
 
Last edited by a moderator:

Na wewe unastahili kulambwa ban kwa kutujazia matakataka humu, hii thread ulishaianzisha na iko kule jukwaa la pongezi na malalamiko, unachokifanya wewe sasa hivi ni tabia za kikahaba.
 
Sanoyet mbona likes given 0 mkuu?unamaanisha hakuna hata quote moja ya mwana jf iliyukukuna?

natumia simu ya kichina aina ya itel,sioni sehemu ya `like'
 
Last edited by a moderator:
kashapigwa ban....tusubiri akirudi sijui atakuja na singo gani
 
Back
Top Bottom