Ni wapi Dar naweza pata huduma ya massage nzuri? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Ni wapi Dar naweza pata huduma ya massage nzuri?

Discussion in 'Mahusiano, mapenzi, urafiki' started by chelenje, Jan 27, 2011.

 1. c

  chelenje JF-Expert Member

  #1
  Jan 27, 2011
  Joined: Oct 18, 2010
  Messages: 554
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Wakuu JF,

  naomba kujuzwa sehemu ninayoweza kupata huduma ya massage nikiwa Dar. Naomba iwe ni sehemu safi yenye hadhi, siyo uchochoroni.
   
 2. Pascal Mayalla

  Pascal Mayalla JF-Expert Member

  #2
  Jan 27, 2011
  Joined: Sep 22, 2008
  Messages: 24,576
  Likes Received: 18,546
  Trophy Points: 280
  Anzia pale Kinondoni opposite Muslim Sec School, then mbele kidogo, BM Saloon, Morroco pale next to Zain, shuka Drive Inn opposite O/Bay Police kuna Magic Touch ya wahabeshi. Futa barabara ya Old Bagamoyo Rd, humo njia nzima utaona vibao vya matangazo ya Massage.
  Fika njia panda Kawe ile round about, elekea njia ya Beach, utaona maasage mbele ya Daraja na mwisho ni kwenye hoteli ya Giraffe, wale Wachina wa massage na mambo yote ndio wamepanga pale.
   
 3. u

  uporoto01 JF-Expert Member

  #3
  Jan 27, 2011
  Joined: May 23, 2008
  Messages: 4,741
  Likes Received: 21
  Trophy Points: 135
  Magic hands sio ya wahabeshi ni ya dada wa Kilimanjaro.
   
 4. c

  chelenje JF-Expert Member

  #4
  Jan 27, 2011
  Joined: Oct 18, 2010
  Messages: 554
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Thanks Pasco, nahisi mgongo unawaka moto, ila hujasema kati ya hizo ipi bomba?sitaki tembelea zote, nataka niendeiliyo nzuri(full massage) na ni ya viwango!
   
 5. Pascal Mayalla

  Pascal Mayalla JF-Expert Member

  #5
  Jan 27, 2011
  Joined: Sep 22, 2008
  Messages: 24,576
  Likes Received: 18,546
  Trophy Points: 280
  1. Ile ya Kindondoni opposite Muslim Sec. bomba sana, ina vifaa vya kisasa, na ina wadada very professional tatizo lake ni bei, nadhani full body plus scrub plus manicure na padicure ni 60,000. Massage peke yake ni 20,000, na ukiamua ya specific area tuu, kama mgongo, miguu, mikono, kichwa na mabega ni 10,000 each, duration ya full body na kila kitu to two hours, full body massage peke yake ni 1 hour, na spefic area ni 30 min.
  2. Ile ya BM Saloon, bei yao ni 20,000 tuu na kuna dada mmoja Mkenya, ama mikono with power of massage, tatizo lao, iko sloon, watu ni wengi sana, na massage room yao sio self contained.
  3. Ile ya Mbezi Beach, ni full house, iko very very private, nayo bei yake ni 20,000 per hour, ila mhudumu mmoja tuu ambaye she is really good na very professional, viko pale visichana vingine 4, hizo dressing zao kwenye massage na massage zao, unaweza kudhani wanataka kukuibia, kwa kifupi ni kama wezi fulani wakikumassage, pia wanataka biashara nyingine.
  4. Wale wachina pale Girraffe, wao ndio fully professiona wakitumia chinese technics za Shiantu 'touch of life', wao wana mpaka sauna na unaoga kwenye jacuzzi, bei yao ni 100,000 per hour.
   
 6. Gaga

  Gaga JF-Expert Member

  #6
  Jan 27, 2011
  Joined: Jan 6, 2011
  Messages: 4,565
  Likes Received: 20
  Trophy Points: 135
  Masaki bwana karibu na seacliff nafikiri ni vilage pale pako bomba sana
   
 7. c

  chelenje JF-Expert Member

  #7
  Jan 27, 2011
  Joined: Oct 18, 2010
  Messages: 554
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Mkuu Pasco asante sana, ngoja nikapate tiba hapo kinondoni near muslim, i hope patanifaa.
   
 8. c

  chelenje JF-Expert Member

  #8
  Jan 27, 2011
  Joined: Oct 18, 2010
  Messages: 554
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Thank you gaga, ntakwenda huko pia.
   
 9. u

  uporoto01 JF-Expert Member

  #9
  Jan 27, 2011
  Joined: May 23, 2008
  Messages: 4,741
  Likes Received: 21
  Trophy Points: 135
  Kuna massage inaitwa Pentagon unapita ile barabara inayokatiza makaburi ya kinondoni karibu na mwisho upande wa kulia,bei 25,000/- pasafi na patulivu na wanatoa huduma masaa 24 wana shift.
   
 10. Kituko

  Kituko JF-Expert Member

  #10
  Jan 27, 2011
  Joined: Jan 12, 2009
  Messages: 9,366
  Likes Received: 7,007
  Trophy Points: 280
  Mueshimiwa Uporoto unamaanisha Mtaa wa Ngano ama?
   
 11. K

  KGB Member

  #11
  Jan 27, 2011
  Joined: Sep 2, 2010
  Messages: 52
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  HTML:
  
  
  Ile ya Mbezi Beach, ni full house, iko very very private, nayo bei yake ni 20,000 per hour, ila mhudumu mmoja tuu ambaye she is really good na very professional, viko pale visichana vingine 4, hizo dressing zao kwenye massage na massage zao, unaweza kudhani wanataka kukuibia, kwa kifupi ni kama wezi fulani wakikumassage, pia wanataka biashara nyingine.\
  HTML:
  
  
  Pasco Fafanua,kama sentensi zimeingiliana
   
 12. Butola

  Butola JF-Expert Member

  #12
  Jan 27, 2011
  Joined: Jan 19, 2010
  Messages: 2,222
  Likes Received: 90
  Trophy Points: 145
  Nimekukubali Mkuu.
   
 13. u

  uporoto01 JF-Expert Member

  #13
  Jan 27, 2011
  Joined: May 23, 2008
  Messages: 4,741
  Likes Received: 21
  Trophy Points: 135
  ndio.Kuna vyumba vya 50,000/- pia ambavyo vina Jacuzzi/sauna baada ya massage,pale saa 5-6 usiku au 12 asubuhi ukitoka club unapata massage.
   
 14. Mohammed Shossi

  Mohammed Shossi Verified User

  #14
  Jan 27, 2011
  Joined: Jan 17, 2011
  Messages: 3,986
  Likes Received: 123
  Trophy Points: 160
  Coliseum oyster bay au Touch Spa Masaki kama hizo ni ghali then jaribu Majic hands opp na kituo cha polisi oyster bay
   
 15. Mohammed Shossi

  Mohammed Shossi Verified User

  #15
  Jan 27, 2011
  Joined: Jan 17, 2011
  Messages: 3,986
  Likes Received: 123
  Trophy Points: 160
  Wanauza nini vipodozi au after sheve?
   
 16. afrodenzi

  afrodenzi Platinum Member

  #16
  Jan 27, 2011
  Joined: Nov 1, 2010
  Messages: 18,135
  Likes Received: 2,398
  Trophy Points: 280
  karibu kwangu ni bure dear
  hahaha lol
   
 17. Mohammed Shossi

  Mohammed Shossi Verified User

  #17
  Jan 27, 2011
  Joined: Jan 17, 2011
  Messages: 3,986
  Likes Received: 123
  Trophy Points: 160
  Mimi au...............................?
   
 18. afrodenzi

  afrodenzi Platinum Member

  #18
  Jan 27, 2011
  Joined: Nov 1, 2010
  Messages: 18,135
  Likes Received: 2,398
  Trophy Points: 280
  mmmhh
  kwani wewe wataka massage??
   
 19. tzjamani

  tzjamani JF-Expert Member

  #19
  Jan 27, 2011
  Joined: Oct 9, 2010
  Messages: 997
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  :plane: nimekaribia kwako.
   
 20. afrodenzi

  afrodenzi Platinum Member

  #20
  Jan 27, 2011
  Joined: Nov 1, 2010
  Messages: 18,135
  Likes Received: 2,398
  Trophy Points: 280
  aaiii na we ulipotelea wapi jamani???
   
Loading...