Ebwanae.....watu8 anasafiri kwenda Ethiopia anamuacha Lara1 Tanzania. Mawasiliano yanakua sio kwasana kozi watu8 keshakamatia tayari mtoto wa kiethiopia. Watu8 keshalijua jiji pale nchini kawa...
Kumbukeni haya wapendwa dada
zangu
1} Kamwe usimtegemee mpenzi wako
wa kiume kama baba yako, jaribu
kumwonyesha ajue kuwa kabla ya
kukutana ulikuwa unajiweza na hata
ukiachana nae utaendelea...
habari zenu nyote humu ndani mimi ni mgeni kabisa kwa hii forum but kuna kitu nimejifunza kuna baadhi ya watu hawako serious kabisa kiasi ambacho wanawaharibia baadhi ya wenzao walio na uhitaji...
Kama mambo yote yatakuwa hivi,
1. Umpate mke / mme mnayependana kwa dhati utakubali ninachokuambia.
2. Umpate mke / mme ambaye viungo vyake vya uzazi vimekamilika na ana hisia za mapenzi.
Dada...
kwanza asanten san kwa ushauri maoni yenu meng sana ila nahc hujui had nafikia hatua ya kusema kwa upande wangu bora puny-- kulk mwanaume ngoja nikupe mkasa kidogo
mm bnt ninakaribia26
nilikua na...
Leo nimeona tubadilishane mawazo kama ni kweli
makosa makubwa yanyofanywa na wanawake wengi bila kujua kuwa ni mabaya kabisa
1.Kuonyesha kuwa jamaa hana ujanja kwako
2.kuzungumza mabaya ya mpenzi...
Unataka kuoa mahari umetoa na usivyo na adabu mimba ushaiingiza!
Uyo mkeo mtarajiwa anasoma chuo mwaka Wa mwisho anadaiwa ada asilimia Fulani kama laki 5 tu. Wewe unafanya kazi nzuri tu na una...
Je upo jela umekamatwa na
ulifungwa mwaka 1 na miezi 6
unarudi unamkuta mkeo ana
mtoto wakati we ulivyo enda jela
haukumuacha na mimba lakini
ktk kukaa chini na kupeleleza
unaambiwa kuwa...
Heshima kwenu,
Naomba ushauri wenu juu ya jambo hili:
Kwamba, ninaye mpenzi wangu wa kike na tumekuwa kwenye mahusiano mema kwa muda wa miaka miwili sasa. Mahusiano yetu yamekuwa bora wote, lkn...
Kwanza nikiri kuwa mimi ni mgeni kwenye jukwaa hili. Kama kuna mtu aliyewahi kumwona bata mzinga aki-do anyoshe mkono juu. Mimi niliwahi kuwafuga sikuwahi kuona waki-do, mi naona mayai na...
staa ni mtu yoyote anayejulikana katika jamii na kuwa na umaarufu mwingi tofauti na watu wengine awali ya yote huwa najiuliuliza sana kwa nini mastaa wengi huwa hawadumu na wenzi wao au kwenye...
Ndugu zangu ninahitaji ushauri kabla sijafanya maamuzi yoyote,Kuna msichana nilitokea kumpenda sana,nilishawahi mtongoza ambyo hiyo ilikuwa mara ya kwanza ila alinitagaa kwakusema "sitaki mazoea...
Habari wana mmu napenda niombe msaada kwenu kwa anayeweza kunisaidia.nipo ktk kwa miaka3 ss mwanzoni nilikuwa fiti sana kimchezo yaani mabao ilikuwa ni km kawa.lakini cku hz nipo luz sana tena cku...
Hili ni pozi la mwanamke akisubiri simu ipokelewe, kuna kitu anata kumweleza mpenzi wake na anasubiri apokee simu kwa shauku kubwa..........
Ukiona mwanamke anaongea na simu kwa pozi hili jua...
Mimi nimeoa na tumejaliwa watoto 3 mimi na mke wangu na Mungu. Kuna mrembo mmoja tuko naye ofcn kwa muda mrefu sasa. Juzi alinishangaza wakati tunakula chakula cha mchana katika mgahawa mmoja...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.