Iv hii kitu inawezekana?

Iv hii kitu inawezekana?

minagirl

JF-Expert Member
Joined
Jan 15, 2013
Posts
269
Reaction score
35
Mwanamke divosed na anamtoto mmoja, mwanaume ndo kwanza hajuwai hata kuonja maisha ya ndoa wala hana hata mtoto wa kusingiziwa, iv inawezekana kweli watu hawa wakaoana na kujenga familia yenye furaha?
 
Tena ni vizur sna kuishi na mwanamke kama huyo
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom