^^
Ni kawaida kwa kila mmoja wetu kumtafuta anaempenda. Maana kuingia katika mahusiano bila moyo wako kuridhia kuna gharama zake.
Mapokeo ya wazee wetu yanasema zamani vijana walilazimishwa kuoa...
Dear Ladies! Do you think guys really care about your excessive make-ups, face paintings, half- naked pictures of yourself ?? We don't! NONE of those guys who will like that photo loves you! They...
Ngoja nianze kusema bila kuzunguka,dada yangu mmoja ameolewa na mchaga wa marangu,na kwa sasa wameenda marangu kula sikukuu japo wanakaa mbali sana lakin wameweza kusafili umbali mrefu...
Najua kuna watakao nipinga lakini kuna wahanga kama mimi watakubaliana na mimi na wengine watasema roho mbaya hapa nazungumza kwa uhalisia kabisa maana najihisi nimepigishwa step 100 nyuma kuwa...
Za asubuhi ndugu zangu!
Naombeni mnishauri nini cha kufanya kupunguza maumivu ya kuachana na mpenzi wako wa muda mrefu.
Nimeachana na shemeji yenu jana na hali yangu ki roho si nzuri kabisa...
Kuna jamaa yangu ametengana na mkewe toka mwezi wa tisa mwaka jana leo mkewe amempigia simu na mueleza kuwa ana mimba yake ina miezi 5! Kwa hali kama hyo unamshauri nini?
Wana MMU natanguliza salaam!
Kwakwel masomon kunachanga moto lakin kazin nako majanga.
Baada ya masomo nimeajiliwa kwenye kampun moja nikahaidiwa kupewa nyumba baada ya mwez mmoja so...
Nimekua kwenye uhusiana na dada mmoja lkn juz kati niliamua kuachana nae ili kujitoa kwenyd mtandao. Sasa amekua ananitumia sms za vitisho na kunambia chochote kitakachonikuta nimlaum yeye...
Huwa inatokea sana pale mwanamke anamfumania mume au mpenzi wake, kitakachotokea kama si kumpiga mwanamke aliyemfumania na mumewe, basi atamporomoshea matusi au kumlaumu sana. Si hivyo tu, hata...
Dunia haina kitu cha kutupatia,ila ni Yesu tu ndiye anaye weza kutupa kila tutakacho,ukiitafakari Dunia kwa udani hakika ni uchafu,Dunia imechanganyikiwa,Dunia ina waya waya,ukipata mda soma (((...
Awali ya yote nawatakia siku njema ya leo. Leo nataka kuongelea, dhana ya wanawake kuuza miili yako. Dhana hii ni pana sana ndiyo maana nimeona ni vyema nipate mawazo kutoka kwa wanaJF...
Hi guys,
A long time ago, it was assumed that if a child lived to see age four, he or she would survive. The biological parents were then free to move on to new sexual adventures, and the...
wakuu samahan kwan inachosha kwan kwa sas humu ndani wanawake ni wachache, ukigeuka upande wa kulia utakuta miss chaga, kushoto ni white girl, mara black girl, kiukwel nimechoka nataka nione...
Kwanza kabisa, mwanaume aitakiwi kumuuliza mwanamke kama atambusu, yeye anatakiwa kusema. Kumuomba kumbusu itamfanya mwanamke amuone mwanume kama mtoto ambavyo kimsingi mwanamke apendi hivyo. Na...
Habari.......
Leo nimeamua zaid kusema na wasichana/mabinti baada ya kimya cha muda mrefu sana ambacho kilitokana na ubize wa majukumu.
Wadogo zangu wapendwa naomba niseme na nyie kwamba sio...
Everyone lies. All lies are not equal, which is why lying is okay in some circumstances. The trick is to do the lies that are okay. The gray area is so complicated that Randy Cohen wrote an...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.