Wanajamvi naomba nitoe duku duku langu leo kuhusu kina dada ktk suala la simu!!! kila dada ninayetaka kuanza nae mahusiano anamajibu yafuatayo kuhusu simu yake-
1. simu yangu mbovu iko kwa fundi...
Miaka 10 iliyopita niliowa mke na nikazaa nae watoto wawili lakini baadae nikaachana nae, yeye akarudi kijiji kwao na kwa bahati akaolewa na mume mwingine na mimi nikaowa mke mweingine, mwaka jana...
Kwa kautafiti kangu kadogo nlikokafanya nmegundua kwamba wanawake wenye urefu wa kuanzia ft 5.6 ni warembo na kwenye mambo yetu yaleeee ndo wenyewe
Msichana mwenye urefu kuanzia ft 5.5 anitumie...
Griiiiiii,griiiiiiii!Nashtushwa na mlio wa simu ya mezani inayoita kwa Fujo,naangalia Muda ni saa nane na dakika 17 usiku.
Najiuliza Huyu atakuwa nani usiku huu!nikakumbuka wakati naingia kulala...
MARIA Nkwabi [33] Mkazi wa Kijiji cha Kakola akiwa katika Hospitali ya wilaya ya Kahama baada ya kumwagiwa Tindikali na Mumewe;Ray Chobe katika ugomvi unaodaiwa kugombea mali.
Jeshi la Polisi...
Utafiti huu unaweza kuleta taharuki kwa wanaume au wanAwake ambao wenzi wao wanafanya kazi maofisini, yaani ambao wameajiriwa. Hii inatokana na madai kwamba, katika kila waajiriwa kumi, saba...
Nimejaribu kufuatilia bank zetu hapa bongo nikagundua awana utaratibu wa kukopesha mtu agharamie gharama za sehemu ya arusi yake tofauti na Bank za kenya. Umri unanitupa, kila siku afadhali ya...
Wadau
Hii nimekutana nayo hapa Moshi jioni hii, sasa hivi, kwamba wanaume wenye wapenzi wengi, au wanaojua kutongoza ndio wenye mafanikio katika maisha.
Hili linaukweli wowote?
Uwe na shape angalau, yakuniweka roho juu, niwah kurudi nyumbani, employed or selfmade any education Level,serious one, good hearted, pliz be kind enough
1.Tabia ya uzushi na kuchonganisha watu. Yaani ukiwa na tabia hii wenzio kwenye garage party watakutimua sababu huna vigezo vya kuitwa mwanaume. Mtoto wa kiume kueneza baseless rumours wala...
Jamani wadau hivi hii kitu ni kweli au nadanganywa tu?! Naskia Bukoba katika kila guest houses hata mahotel makubwa eti ukiingia chumbani unakuta godoro limefunikwa na mfuko wa nailon(plastic)...
Wakuu kuna rafiki yangu anaitaji msichana wa kuoa mwenye details hizo nikimaanisha awe tasa,mnywa monde kupita kiasi,mcha mungu na awe Hiv free..kama yupo humu naomba aniping nimuunganishe naye...
Namasteeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!
Leo nilikuwa HEADQUATER YA UMBEA NA UPASHKUNA! A.k.a Saluni ya mtaani kwetu! Sasa bwana YA LEO KALI! Msinichoshe nisiwachoshe...
Sifa za Mwanamke-Awe muislam anaejua dini na mwenye kujistili,elimu yoyote,alie wai kutendwa, mwembamba kiasi,mwenye subla,awe tayari kuijenga familia.........Nb. sio mzaha kama ukotayari ni inbox!
Wana JF, Nifanye nini ili kuongeza nguvu za kiume? Maana kabao kamoja tu msholele unalala fwaaa .hadi wife analalamika usiku kucha. Sitaki kutumia VIAGRA vina side effect kubwa nataka vitu...
Damn my pretty face. It has landed me in trouble over and over again. But this time round I was screwed. I am a woman envied by many. 'What does she lack?' The women in my neighbour hood whisper...
A South African doctor has created a female condom that puts teeth in the fight against rape. Rape-aXe, the anti-rape condom features rows of jagged hooks designed to attach to a mans penis...
Rafiki yangu ni born again, anasali kwenye kanisa moja maharufu hapa bongo. Anampenzi wake ambaye naye ni born again wamepanga kuoana. Moja ya sharti la maborn again ni kutokufanya mambo yetu yale...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.