Kuna jamaa yangu ametengana na mkewe toka mwezi wa tisa mwaka jana leo mkewe amempigia simu na mueleza kuwa ana mimba yake ina miezi 5! Kwa hali kama hyo unamshauri nini?
kweli kama walikutana inawez kuwa yke ila kwann hadi mimba inafika mwezi wa tano ndyo anamwambia?Inawezekana kweli akawa nayo km mwez wa9 walikuwa wote, DNA zenyewe wanaume wengi wanakimbiaga tu kusema mtoto akizaliwa ata izo habar azipo tena eti eeh ni wangu 2nafanana cjui ela inawauma kutoa au huwa ni nin
anavyodai jamaa huyo mkewe alikuwa na mahusiano na jamaa mwngine ndyo maana anamashaka na hyo mimba
anavyodai jamaa huyo mkewe alikuwa na mahusiano na jamaa mwngine ndyo maana anamashaka na hyo mimba