mpingauonevu
JF-Expert Member
- Feb 27, 2012
- 621
- 434
Du
Ndio maana alikuacha!
Na uwachwee tuu
Sasa mbona hamniambii sababu?mwee unakila sababu ya kuachwa..hata hao uliowaacha uliwawah tu kdogo walikua wakuache
mawazo yako yenyewe yamekaa kuachwa achwa tu!
kosa langu ni nini?
wewe lazima utakuwa ni mvivu kitandani
Ndio maana alikuacha!
Sasa mbona hamniambii sababu?
sasa aliniacha kwa nini?
±±±±±±±mawazo yako yenyewe yamekaa kuachwa achwa tu!
±±±±±±±±Akili yako hiyo
±±±±±±dahhhhh kwa point hizo nafikiri you deserve it!!!!!!!!!!!!suit yourself mkuu!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!
Hata me ningekuachaapenzi na njaaa hapana. Tafuta pesa