Changamoto yangu ya kwanza ngumu kazin!

Changamoto yangu ya kwanza ngumu kazin!

mutahappy

JF-Expert Member
Joined
Dec 30, 2012
Posts
529
Reaction score
188
Wana MMU natanguliza salaam!
Kwakwel masomon kunachanga moto lakin kazin nako majanga.

Baada ya masomo nimeajiliwa kwenye kampun moja nikahaidiwa kupewa nyumba baada ya mwez mmoja so nimepelekwa gest house na kulipiwa fedha ya malazi na chakula

sasa kesi ipo ktk gest nilipopelekwa. Cjui watu wa huku wanajua kugegenda sana au ni fujo tu!
USIKU silali fujo za kitandan ni kama vita.yan nikama yule mama wa kwenye liletangazo la wajibika mama aishi.

Nimeomba nibadilishiwe gest lakin mwajir amesema ameishalipia.nimenunua head phones kupunguza hizo kelele za migegendano mwishowe sasa hivi naumwa kichwa.

Sasa hivi nakazin nasinzia, wananifanya niwaze sana,hisia zinanitesa na wananifanya niwaze kitu ambacho ni kibaya kwa Mungu na mpenz wangu.

Jana usiku sasa duh! Nilisahau laptop na head phones ofisin wakat wa kulala chumba cha jiran kunajamaa alikuja na mwanamke yan yan yan.... Kama kupigapiga sabuni ya homo kwenye beseni yenye maji.!

Wakuu nimechoka!
Huu mkoa naupigia salute ila mmenitesa nimeamua kulala ofisin hadi nitakapo pewa nyumba.,siwez kumsalit mpenz wangu.
 
genye tu zinakusmbua, sasa sisi tufanyeje? au tuje tuwazibe midomo? waache watu watumie vifaa vyao, kwanza hiyo gesti inaonekana bei rahisi mpaka makelele yanafika jirani.
 
Wana MMU natanguliza salaam!
Kwakwel masomon kunachanga moto lakin kazin nako majanga.

Baada ya masomo nimeajiliwa kwenye kampun moja nikahaidiwa kupewa nyumba baada ya mwez mmoja so nimepelekwa gest house na kulipiwa fedha ya malazi na chakula

sasa kesi ipo ktk gest nilipopelekwa. Cjui watu wa huku wanajua kugegenda sana au ni fujo tu!
USIKU silali fujo za kitandan ni kama vita.yan nikama yule mama wa kwenye liletangazo la wajibika mama aishi.

Nimeomba nibadilishiwe gest lakin mwajir amesema ameishalipia.nimenunua head phones kupunguza hizo kelele za migegendano mwishowe sasa hivi naumwa kichwa.

Sasa hivi nakazin nasinzia, wananifanya niwaze sana,hisia zinanitesa na wananifanya niwaze kitu ambacho ni kibaya kwa Mungu na mpenz wangu.

Jana usiku sasa duh! Nilisahau laptop na head phones ofisin wakat wa kulala chumba cha jiran kunajamaa alikuja na mwanamke yan yan yan.... Kama kupigapiga sabuni ya homo kwenye beseni yenye maji.!

Wakuu nimechoka!
Huu mkoa naupigia salute ila mmenitesa nimeamua kulala ofisin hadi nitakapo pewa nyumba.,siwez kumsalit mpenz wangu.

kitendo cha kukuwekea guest house hio ndio imeonyesha wanakuthaminisha vipi.upgrade urself kachukue hotel ingine nzuri ya hadhi yako.
 
Funguka mkuu ni mkoa gani huo tunataka tuu jue
 
Wana MMU natanguliza
salaam!
Kwakwel masomon kunachanga moto lakin kazin nako majanga.

Baada ya masomo nimeajiliwa kwenye kampun moja nikahaidiwa kupewa nyumba
baada ya mwez mmoja so nimepelekwa gest house na kulipiwa fedha ya
malazi na chakula

sasa kesi ipo ktk gest nilipopelekwa. Cjui watu wa huku wanajua
kugegenda sana au ni fujo tu!
USIKU silali fujo za kitandan ni kama vita.yan nikama yule mama wa
kwenye liletangazo la wajibika mama aishi.

Nimeomba nibadilishiwe gest lakin mwajir amesema ameishalipia.nimenunua
head phones kupunguza hizo kelele za migegendano mwishowe sasa hivi
naumwa kichwa.

Sasa hivi nakazin nasinzia, wananifanya niwaze sana,hisia zinanitesa na
wananifanya niwaze kitu ambacho ni kibaya kwa Mungu na mpenz wangu.

Jana usiku sasa duh! Nilisahau laptop na head phones ofisin wakat wa
kulala chumba cha jiran kunajamaa alikuja na mwanamke yan yan yan....
Kama kupigapiga sabuni ya homo kwenye beseni yenye maji.!

Wakuu nimechoka!
Huu mkoa naupigia salute ila mmenitesa nimeamua kulala ofisin hadi
nitakapo pewa nyumba.,siwez kumsalit mpenz wangu.

Where did you learn that creepy writing style?
 
Mlaumu boss wako kwa kukulipia cheap guest house which has no manner
 
Kuna kitu kinakusumbua...! Si muda mrefu utamsaliti mpenzi wako..!
 
kitendo cha kukuwekea guest house hio ndio imeonyesha wanakuthaminisha vipi.upgrade urself kachukue hotel ingine nzuri ya hadhi yako.

hata mimi nimeshangaa kweli. tena Guest yenyewe inaonekana ya uswahilini za buku kumi kumi......
 
Guest zisizo kuwa na ceiling board utazijua...!! Ukute unatamani hata kupanda ukuta upige deo... Don't pop your nose in people's affairs..
 
Sijaona changamoto yoyote hapo. Ni wewe na mawazo yako tu.
 
Back
Top Bottom