ndalibanyo
JF-Expert Member
- Jan 6, 2014
- 431
- 432
wana jamvi msaada wenu tafadhal, niliwah kuwa na uhusiano na mpenzi Wangu wa kwanza alikuwa ni msafi Sana pia mkarimu. kasoro yake alikuwa ni muhuni sana! kwa ushahidi nilimfumania gesti akilisaliti penzi letu, nikaamua kumuacha. nilimpata mpenzi mwingine kwa hakika ametulia hana tabia za kihun kama wa awali, huyu nae ni hatari kwa uchafu na mdomo mchafu kwa kifupi heshima hakuna kabisa. ushauri wenu ndugu zangu
nipo katika wakati.mgumu sijui niamue nini.
nipo katika wakati.mgumu sijui niamue nini.