The Intelligent
JF-Expert Member
- Dec 27, 2013
- 2,459
- 824
Wanaume wengi ambao wako serious(wasiochekacheka) hukubaliwa kirahisi na wanawake pale wanapowatokea kwa mara ya kwanza.
Wanaume wa aina hii wanakuwa hawana mazoeano na watu wengi, pia ni watu ambao hisia zao za upendo au chuki hazionekani kwa urahisi, wanaonekana kuwa ni watu waaminifu kwenye suala zima la mapenzi,urafiki pamoja na usiri(Mwanamke anapenda mwanaume msiri), hivyo hujirahisisha kiuraini kwa mwanaume wa aina hii pindi wakitongozwa
Sababu nyingne ni kutaka kumwonyesha mwanaume kuwa anaweza kumfurahisha, huu ni mtazamo wa kawaida kwa watu wote dhidi ya watu wenye tabia ya u-serious, watu wanajaribu kufanya kila wawezalo ili kuwafanya watu wa aina hiyo kufurahi, ndio maana watu wenye tabia ya u-serious wanapocheka kidogo watu huona ni ajabu! hvyo inaweza kuwa sababu mojawapo ya mwanaume wa aina hii kukuabalika kirahisi kwa mwanamke.