Hi! wana MMU,naombeni ushauri je! ni sahihi kumuoa mwanamke ambaye si bikra? na ukizingatia mimi sijawahi kungonoka.

Ndio, tupo...Kwani kuna wanawake bikra?
Samahani Mkuu, Kwani unachooa ni nini labda?
Asante.
Ndio, tupo...
Ha ha ha haAfu wewe ishu yangu vipi ....??
Ha ha ha ha
We mtoto mbona husomeki...mbona husomeki...sosi: joti bado sijakubali EiyerNdo umekubali au??