Ungekua wewe ungefanyaje?

Ungekua wewe ungefanyaje?

Mwanzije

Member
Joined
Jan 17, 2014
Posts
25
Reaction score
3
Mpenz wang niliekua nategemea kufunga ndoa nae amezua kizazaa baada ya kujifungua mtoto ambae ameniacha njiapanda. Naishi dar yeye iringa nilienda kwake july 2013 tukagegedana mara nying tu baada ya kurejea dar mwez august akaniambia ana mimba nikakubali kuilea mimba na mtoto cha ajabu tar 8 january mwaka huu kajifungua tena mtoto timilifu kabisaaa wala sio njiti! Hakuniambia km kapata uchungu nilishangaa napigiwa sim kuwa amejifungua sasa waungwana kweli huyo ni mwanangu? Anafaa kuwa mke? Ananisisitiza sana nikajitambulishe kwao mie sijamwambia chochote wala sijamtumia hata sh. Kwa ajir ya nguo za mtoto nahitaji ushaur wenu wana mmu.
 
Mmmmh km hamjakutana apo kabla ya july mtoto hawez kuzaliwa katimia angekuwa bado safarin mkuu apo funguka tu uhoji inakuwaje
 
Mtoto sio wako. Demu sio mkweli. Mchumba ana mtu mwingine wanaduu bila kinga (ina maana anampenda).
Jipime mwenyewe bro...
 
Mpenz wang niliekua nategemea kufunga ndoa nae amezua kizazaa baada ya kujifungua mtoto ambae ameniacha njiapanda. Naishi dar yeye iringa nilienda kwake july 2013 tukagegedana mara nying tu baada ya kurejea dar mwez august akaniambia ana mimba nikakubali kuilea mimba na mtoto cha ajabu tar 8 january mwaka huu kajifungua tena mtoto timilifu kabisaaa wala sio njiti! Hakuniambia km kapata uchungu nilishangaa napigiwa sim kuwa amejifungua sasa waungwana kweli huyo ni mwanangu? Anafaa kuwa mke? Ananisisitiza sana nikajitambulishe kwao mie sijamwambia chochote wala sijamtumia hata sh. Kwa ajir ya nguo za mtoto nahitaji ushaur wenu wana mmu.

Pole mkuu,ni afadhali hili limetokea kabla hamjaoana ili utafute mwanamke sahihi wa kufunga naye ndoa
 
Majanga hayataisha bongo hii na yeye kakupigia simu kwamba amejifungua?
 
Pole kaka,mtoto siyo wako.Tupa kuleee huyo Dem.MUNGU atakupa mkeo mwema.
 
pole sana kaka mimi nakushauri uhoji kwanza kabala ya kuamua lolote lakini huyo mtt si wako kabisa.
Kwanini uhoji? Isije ikaonekana kuwa wewe unamakosa kumbe ur clean.
 
This is day time robbery...
Achana naye kabisaa, hafai..
 
Mkuu kumbe uporuhusiwa kumega bila kinga unapendwa?...

Hahahahaha nimeipenda sana hii!...

Mtoto sio wako. Demu sio mkweli. Mchumba ana mtu mwingine wanaduu bila kinga (ina maana anampenda).
Jipime mwenyewe bro...
 
pole sana kaka mimi nakushauri uhoji kwanza kabala ya kuamua lolote lakini huyo mtt si wako kabisa.
Kwanini uhoji? Isije ikaonekana kuwa wewe unamakosa kumbe ur clean.

hakuna kuhoji.tokea julai na januari ni miezi 5/6 je huyo mtoto ambaye si njiti amepatikanaje?
 
Ndugu ujauzito ni miezi 9 na ikiwa tofauti na hapo miezi 7.5 au 8 angekuwa njiti. Mwanao wa kubambikizwa mda huu ungekuwa mwezi wake wa 5. Potezea mawasiliano na huyo aliyevunja uchumba
 
hamna haja ya kuomba ushaur hata kama ujaenda shule,nauyo mwanamke ni kichaa hana hata aibu,kuwa makini
 
Mwambie cha kumsaidia hauna,Labda umsaidie tu kumchagulia jina.
 
Changanya na za kwako. Kuna watu wengi tu wameoa wake wenye watoto, wajawazito wa mimba ambazo si zao? Ulimpenda huyo mdada? Anaweza kawa kakosea kwa kutokuwa muwazi.Pima moyo wako halafu amua. Kuwa na mtoto ambao sio wako tu si kigezo cha kumuacha, Na kama ni kukudanganya ni kosa la kibinadamu na lilikuwa na sababu zake. Sishabikii uongo wala uasherati bali cha muhimu sikiliza moyo wako na hisiazako. Kwanilicha ya uhakika kuwa nao kuwa simwanaobado unaomba ushauri inamaanabado upendo fulani upo kwake. Fikiria kwanza ndipo ufanye uamuzi!!!!!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom