Emc2
JF-Expert Member
- Sep 26, 2011
- 16,808
- 16,969
SEASON 1
Episode 01
Tekinolojia itakuwa imekuwa sana nchini Tanzania na kuanza kuzitishia nchi kubwa duniani, kiuchumi, kitekinolojia, kiulinzi na usalama. Biashara mbalimbali haramu na magendo zitakuwa na mitandao mikubwa sana duniani. Madawa ya kulevya aina NH-BIOTECH yatakuwa hatari sana. Serikali ta Tanzania itakuwa ni moja kati ya nchi tano duniani zenye nguvu ya kitekinolojia zilizo saini mkataba wa kuzuia utengenezaji na uuzaji wa madawa hayo ya kulevya. Nchi zilizo saini mkataba huo ni Tanzania, China, Urusi, Marekani na Ujerumani. Lugha ya kiswahili ndio moja ya Lugha kuu zitakazokuwa zikizungumzwa duniani.
Mtandao wa madawa ya kulevya utahusisha viongozi wakubwa kisiasa na wenye sauti kubwa kwa jamii. Viongozi hao wataua watu watakao kuwa wanafuatilia na kutaka kuusambaratisha mtandao huo.
TISS ndio iliyopewa dhamana duniani kuhakikisha mtandao huwa unakufa mara moja. Hii ni kutokana na sifa za TISS kuwa imefanya operation za kuzuia mtandao wa biashara haramu ya kuuza makucha ya simba. Mtandao huu ulikatwa kabisa na TISS na kuwakamata wote waliojihusisha na biashara hii.
Biashara ya madawa ya kulevaya itakuwa ngumu sana maana madawa hayo aina ya NH-BIOTECH yatuwa yanasafirishwa kwanjia za hali ya juu kitekinolojia. NH-BIOTECH yanauwezo wa kutumwa kwa mtu kwa njia ya email au mtu anaweza aka download madawa hayo kwa kutumia simu ya ke ya mkononi.
Kiongozi wa TISS bwana Masanja Mabula alikuwa na kipindi kigumu sana. Maana kwa upande mwingine wanasiasa walimuandama sana kuwa ameshindwa kuzuia biashara hiyo haramu pamoja na kuaminiwa na dunia. hali ya siasa Tanzania itakuwa tofauti kabisa maana watu watakuwa na uhuru wakutoa mawazo yao hadharani bila ya kubughuziwa.
Wananchi wa Tanzania watakuwa na siku ya kuadhimisha uhuru wa kuongea ulioasisiwa na Raisi wa awamu ya nne wa nchi hiyo. vijana wengi wenye umri wa miaka 45 watakuwa wanaona picha zake tu maana walikuwa hawajazaliwa wakati akitawala.
Bwana Ajax Alfonso ni mtu tajiri sana na mwenye sauti kubwa katika jamii akiwa na wafuasi wengi sana katika jamii. Mke wake Hoka Mayunga alikuwa ni mwanamke mtulivu na mwenye akili nyingi, lakini maisha yao ya ndoa yalikuwa na migogoro ya hapa na pale. Mtoto wa Nancy alikuwa yuko chuo akichukua shahada ya mambo ya sheria. Watakuwa na mtoto mmoja tu.
Robert Mwakasege ni moja ya wafanyakazi wa kuaminika kabisa TISS ngazi ya juu. Mke wake Saada Shabani na watoto wao wawili mmoja wa kiume na mwingine wa kike. Wakiume ataitwa Elicky na wa kike ataitwa Nasrah. Elicky alikuwa jeshini (JKT) akinalizia mafunzo yake.
Hii stori ya kusisimua hebu ifuatile inaendelea....