Wisest man
JF-Expert Member
- Jul 29, 2013
- 993
- 333
Habari zenu wana MMU?
Nimeona nilete mada ijadiliwe humu jukwaani,
Ni kuhusu mitindo yetu ya maisha hususani suala la ulaji, uvaaji na uburudikaji(eg.smoking & drinking etc),
Kama wewe ni mtumiaji wa styles nilizoziorodhesha hapo juu, je unajua athari zake kwa jamii? Hapa tuache kusema ni suala binafsi, mf. tunaambiwa kuwa sigara ni hatari kwa afya ya mtu, sasa unapovuta sigara ktk jamii ya watu huwezi kusema ni suala binafsi kwani moshi unaoutoa unasambaa na watu wengne wanauvuta hata kama hawatumii wala kuhitaji kusikia harufu ya sigara,
Tukienda kwenye suala la mavazi nalo ni hivyo, unapoamua kuvaa nguo zinazoonesha nyeti zako, moja kwa moja unajenga kitu vichwani mwa watu wawe watoto vijana na wazee, ukimwi sio ugonjwa unaokuja ghafla bali una vyanzo vyake ambavyo moja kati ya hivyo ni ngono, jiulze ngono inachochewa na nin?
Je wewe ni mmoja kati ya watu niliowatolea mfano? Je unajua madhara ya unachokifanya kwako na kwa jamii yako?/ Kama kuna watu wa aina hiyo ktk jamii yako unawaonaje!
Tujadili.