MSATULAMBALI
Senior Member
- Apr 1, 2012
- 187
- 55
Nimedumu na mpenzi wangu miaka mitatu jioni hii kani text hivi "maisha kwako bado sana na wewe mwenyewe hujiongezi upo tu hapo. Ndio nakubali kuolewa na wewe lakini sijui maisha yangu yatakueje? Mbona men wengine wapo active, nashukuri na hata sijazaaa maana sijui kama tungekula. Kazi unayowazi tukae tuongee kila siku tunaonge lakani hata kimoja yamebaka maneno tu ndio maana nimepumzika maan naona tunazinguana tu, Hata amu ya harusi sina maaaaaa, nikiolewa ndio bas hivyo"
BACK TO THE REAL STORY
Huyu demu nilimpora jamaa flani alikua yupo airtel morroco pale na demu nilimkamata wakati anaanza first year UDSM nimefanya nae mambo mengi sana na kiukweli ananipenda sana, tatizo kwao Lindi me mkristu sitakiwi na yeye ni muislamu pure, kunizuia mimi wamemtafuta ustaadhi amuoe demu, kagoma, na wale wazazi hawanitaki, bi mkubwa angu kaenda wamemwambia hata tuende na milion mia binti yao haolewi na kafiri, binti karudi nikaamtia mimba, kaenda kwao likizo ya xmass na mwaka mpya wakajua wameichomoa, nikakasirika sana mimba imeanza miezi mitano imechomolewa?? Basi nikamchukia na mwanamke lolote asemalo me napuuza, janualy hii gari yangu imepata ajali nna kesi police wanataka hela na yeye anataka hela sijampa ugomvi unaendelea naishi niwezavyo now, I don't care, leo ndo kanitext hivyo, na muda huu kanitext #. Wewe unafikiri kwa miak yote kirahisi tu tunaachn.aaàaaaa sahau, to me I'm done with her.