Wanaume tuweni wakweli basi

Wanaume tuweni wakweli basi

Shamkware

JF-Expert Member
Joined
Nov 25, 2013
Posts
1,756
Reaction score
2,309
Habari wana JF naamini mko poa, leo na mi nataka kuzungumzia kitu amabcho nimekiona kwa wanaume wengi tumekuwa tukifanya.

Unakuta mwanaume unaanzisha mahusiano ya online na Mtoto wa kike Unamdanganya kuwa we una Maisha mazuuuri eti ni mfanya biashara ama ni mwajiriwa Kumbe hewa unauza duka la Mjomba tu unabana jero baada ya mauzo, Siku ya kumeet una elfu kumi mfukoni na we unataka ukake nae sehemu nzuri mle na kunywa huku mkizungumza.

Matokeo yake pesa inakuishia unaanza kusumbua watu Mara oooh mwanangu niazime elfu kumi M-pesa nna shida ya gafla hapa Kumbe mbwembwe tupu Pakumpeleka baada yahapo huna pesa ya Kulipia Loge hamna Unabaki kudanganya danganya tu, Kwanini usimwambie tu ukweli wa Maisha yako akija kwako ajue kabisa leo ntashindia mihogo na take away ya Jero bana! Mpe ukweli tu kuhusu maisha yako kma atapenda sawa akizingua mwache sio akuingize gharama ambazo hukutegemea akiondoka unaanza kukopa tena. Samahani Lakin wanaume wenzangu.
 
unawadanganya wanawake kuwa we ni mwanaume kumbe mvulana. Jero unaiona ni hela kweli ya kumdanganyia mwanamke?
 
Ukisema ukweli humpati though stori yako imekaakaa kitoto zaidi
 
Ukisema ukweli humpati though stori yako imekaakaa kitoto zaidi.
Hahaaaa haaaaa saw bana
 
Ujumbe mzuri...UKWELI NA UWAZI HUMUEKA MTU HURU.

Sent from my BlackBerry 9320 using JamiiForums
 
Back
Top Bottom