Tahadhari; Wana MMU body spray nyingi Za mwenge DSM ni out dated

Tahadhari; Wana MMU body spray nyingi Za mwenge DSM ni out dated

mbota

JF-Expert Member
Joined
Feb 24, 2012
Posts
1,072
Reaction score
641
Heri ya mwaka mpya wote wana mmu ...

Back to topic .. Katika hali ya kushangaza maduka ya vipodozi mwenge mengi yana vibali kutoka TFDA wanauza spray ambazo ni expired kilicho nishtua kuna duka nimeingia nimekutana na spray ambayo imeisha muda wake toka 2011 lakini ipo kwenye mashelfu
Swali kubwa hapa TFDA toka mwaka 2011 Hamna ukaguzi wa Haya maduka na kama Hamna kuna haja gani ya wao kutoa vibali? ?
Napenda kutoa angalizo kuweni makini sana mnapokuwa mnanunua hivi Vitu kumbuka mwenye dhamana ya afya yako ni wewe peke yako.

Source ni Mimi mwenyewe

Nawasilisha. ™®
 
Heri yangu mie natumia uturi wa kujifukiza hayo mambo ya body spray ni huko huko kweny Bara huku kwetu visiwani shurti udi na mafusho kwa chetezo
 
Back
Top Bottom