Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

On JF:

Habari wana MMU . nipo hapa Morogoro mjini baada ya mizunguko yangu nimeona nipumzike hapa kwenye pub moja (jina kapuni) nile ndizi za kuchoma na nyama ya mbuzi. Kuna baba mmoja amekuja ana...
2 Reactions
29 Replies
3K Views
Nani amekwambia ndani ya ndoa kuna, mashindano ya Miss Tanzania? Ndoa haina Lundenga kama Jaji. Ni wewe na Yeye basi. Mtu anapochagua ''kituko chake'' MUACHE, yeye ndoa najua kwanini kile Kituko...
5 Reactions
21 Replies
2K Views
Miaka ya 90 kurudi nyuma ilikuwa nadra sana kukuta mwanamke ana kitambi. Ukimkuta mwanamke anatumbo kubwa wakati huo, lazima atakuwa ana mimba. Hali sasa inatisha. Wanawake wengi wana vitambi...
4 Reactions
134 Replies
14K Views
Mjini vituko wala visa haviishi, wewe ni mpenzi wangu wa muda mrefu tu kwenu nafahamika ndugu zako wengi tu nawafahamu, leo hii nimekukuta na huyu mjamaa unaniambia ni ndugu yako nikikubana sana...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Napenda Kuonesha Furaha Yangu Juu Ya Site Hii Kwani Nilikuwa Natafuta Mke Wa Kuoa! Kwasasa Niebahatika Kufanya Mawasiliano Na Akina Dada Wawili, They Are All Beautiful! My Hope Is That One Of Them...
1 Reactions
60 Replies
5K Views
Salaam Ni yule yule wa kanaida, niliyetahiriwa hivi karibuni, kuna mtu amenizingua hapa MMU, yaani hapa nina hasira mpaka basi, nataka nimtukane matusi mazito ili hasira zangu zishuke. Hivi kuna...
0 Reactions
26 Replies
4K Views
Katika uzi wake wa "Dar hakuna mwanamke wa kuoa, mnaohitaji kuoa, mkaoe mikoani" Mshua's amedai kuwa "wanawake wa Dar hawana sifa za kuolewa na kuishi katika maisha ya ndoa hadi kufa na kuzikana"...
10 Reactions
35 Replies
7K Views
Yuko wapi mtu jeuri na Kiburi kama FARAO? Yuko wapi leo hii Tajiri wa Matajiri kama SULEIMAN? Yuko wapi mtu Mzuri na Mtanashati kama nabii YUSUF? Yuko wapi Mwanamke mrembo na Mdanganyifu kama...
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Wanajamvi, Kuelekea mwishoni kabisa mwa 2013, naomba tutafakari juu ya hii kitu ambayo kila mmoja wetu anachakarika katika kuitafuta; FURAHA. Je umeipata au umeikaribia? Ilidumu kwa muda...
5 Reactions
111 Replies
8K Views
Hii nimeikuta mahalali. LADIEZ YOU MUST READ THIS ! TABIA ZA WAVULANA PLAYERS! 1. SMAT Hataki kupatikana akiwa kawaida hata kama ni midnight, Yaani ni msafi hadi anachana nywele akienda kulala...
3 Reactions
49 Replies
5K Views
HOLD ON! Nani amekwambia ndani ya ndoa kuna Mashindano ya Miss Tanzania??? Ndoa haina Lundenga kama Jaji..Ni wewe na Yeye basi...Mtu anapochagua ''kituko chake'' MUACHE,yeye ndoa najua kwanini...
3 Reactions
44 Replies
4K Views
Watu wengi wanafikiri kuoga tu inatosha, na ndio maana humu jamvini hutokea kesi za watu kuachana na wapenzi wao kwasababu ya kunuka jasho kikwapa au kuwa na kaharufu fulani kabaya ambako...
2 Reactions
53 Replies
9K Views
Jamani kulingana na taarifa za watafiti kutoka marekani wanasema inachukua dk 3 tu kumridhisha mtu kimapenzi!Chini ya dk3 hakuna raha kwa mwanamke.Hizi dk3 hadi13 hazihusishi foreplay,yaani mambo...
2 Reactions
129 Replies
20K Views
Wana mmu, Hili jukwaa kwa siku za karibuni kuna threads zime-emerge mpaka mtu unashindwa kuelewa tunataka tushauriane nini? Unakuta mtu anaanzisha uzi eti "Kutoa bikra sio lazima mwanamke, ukiwa...
2 Reactions
36 Replies
3K Views
Nimekutana na kijana mmoja hapa Rafiki yangu, akaanza kunisimulia matatizo yake na Mimi nikaamua bila hiyana nije hapa kwenu kumwombea ushauri. Anasema ana umri wa karibia 30, hajaoa ila kwa...
0 Reactions
13 Replies
2K Views
tembea uone mengi,nikiwa nimetulia saloon napata huduma, wadada wawili ndani ya saloon ile wakawa wanajadili mahaba ya wanawake wa kizanzibari,mengi yalizungumzwa na mimi sikuchangia chochote japo...
0 Reactions
12 Replies
5K Views
Vijana wa siku hizi walivyocharuka wangeambiwa mapenzi na sala kwa kweli wote wangeenda mbinguna kwa sababu kila alipo anawaza only mapenzi.
2 Reactions
15 Replies
2K Views
Kuna tabia inashamiri kwa baadhi ya watu kubaka mabinti zao bila ya hofu wala aibu na sijui wanaskia ladha gani, jamani hii si laana kweli?
0 Reactions
15 Replies
4K Views
habarin wandugu,,, nina mpenzi wangu na kwa sasa ni mjamzito wa mwez na zaid,,nilikuwa naomba kufaham ni mambo gani ambyo c mazur yanaweza tokea kipind cha ujauzito wake ili yatakapotokea...
0 Reactions
12 Replies
2K Views
TABIA ZA WANAUME "PLAYERS: 1. SMART Hataki kupatikana akiwa kawaida hata kama ni midnight, Yaani ni msafi hadi anachana nywele akienda kulala then anapiga blanketi pasi. 2. SECURITY CODES...
0 Reactions
0 Replies
760 Views
Back
Top Bottom