Najiuliza sana lakin sipati jibu....!!

Najiuliza sana lakin sipati jibu....!!

cantonna

JF-Expert Member
Joined
Mar 11, 2013
Posts
1,122
Reaction score
439
daa!nimekapata kamupenzi kwa sura ni kakali balaa kwenye bed kana maujuzi ya kutosha....najiuliza hivi aliyekaacha kakaachia nin??
 
Kwa nini kawe kameachwa? Kwani kenyewe hakawezi kumwacha?

Kama vipi mtafute umuulize yeye mwenyewe.
 
Kama mahusiano ni hayo mambo mawili tu, endelea.
 
daa!nimekapata kamupenzi kwa sura ni kakali balaa kwenye bed kana maujuzi ya kutosha....najiuliza hivi aliyekaacha kakaachia nin??

Utapata tu jibu siku utakapojikuta umelala na kitimoto.
 
daa!nimekapata kamupenzi kwa sura ni kakali balaa kwenye bed kana maujuzi ya kutosha....najiuliza hivi aliyekaacha kakaachia nin??

Naona baada ya balehe umeingia kwenye mahusiano. Ukifumania, na kupiga kibuti uje kutoa taarifa hapa.
 
hebu nitumie namba zake nimwulize kwa sabab gan aliachika
 
na wewe kwanini uliachwa kabla ya kumpata huyu?
 
daa!nimekapata kamupenzi kwa sura ni kakali balaa kwenye bed kana maujuzi ya kutosha....najiuliza hivi aliyekaacha kakaachia nin??
umepima? nimekaachia maradhi na funcargo na boutique pale sinza
 
daa!nimekapata kamupenzi kwa sura ni kakali balaa kwenye bed kana maujuzi ya kutosha....najiuliza hivi aliyekaacha kakaachia nin??

kwani alisema kaachwa ama kaacha?kila mtu na interest zake..hakukidhi viwango chapa mwendo!
We ushampata na unapata unachotaka..bhaasi tulia utunzike... Fukunyu fukunyu mnaishia kuishi so insecure at the end boo# no happiness unaishia kuwa kisirani cha kujitakia!
 
Back
Top Bottom