redefining relationship/kuyatafsri upya mapaenzi kila siku!

redefining relationship/kuyatafsri upya mapaenzi kila siku!

Blessed Keinerugaba

JF-Expert Member
Joined
Nov 16, 2011
Posts
4,789
Reaction score
4,850
mapaenzi yamezidi kutafssiriwa kwa namana hasi na wengi wetu kwa kadri siku zinavyozidi kwenda mbele.
hivi hakuna uwezekano wa kuayapatia mahusiano na maenzi yetu tasiri mpya?tafsiri yenye mtazamo chanya zaidi?

..................binafsi naamini na nashauri kwamba tujaribu kuyakubalia mahusiano tukiwa na mtazamo chanya zaidi,tuone kwamba kuna nafasi ya kuwa na furaha,kuwa na amani katika mahusiano,haijarishi una historia mbaya na ngumu katika mahusiano kwa kiasi gani,hijarishi umedanganywa na kusalitiwa kwa kiasi gani.
hebu tunapo yatafakari haya tukumbuke kuwa upendo una nguvu zaidi ya chuki,kuheshimu na kujali ni bora zaidi ya kiburi na kutokujali,enough with the negativity toward relationships.
kwa wale mlio kwenye mahusiano zidi kuoneshana na kutendeana kwa mapenzi ya kweli zaidi kila siku,zidini kuheshimiana ,kujaliana,kila siku moja mpya jiulize ni namna ipi bora zaidi ya kuifikia na kuiamsha furaha ya mwezio umpendaye.
(tizama attachement,)
all ze best!
 

Attachments

  • 999954_506965982753603_623397726_n.jpg
    999954_506965982753603_623397726_n.jpg
    57.3 KB · Views: 71
  • 1505286_595142350573887_25233014_n.jpg
    1505286_595142350573887_25233014_n.jpg
    29 KB · Views: 56
Back
Top Bottom