Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

On JF:

KIUKWELI NIMEFANYA UTAFITI WANGU NA KUBAINI WADADA WALIOZAA NJE YA NDOA WAKIFIKA KWA MWANAUME WANAJIFANYA WANAMAPENZI YA DHATI SANA...! SAS BINAFSI SIJAWEZA KUJUA KAMA NI KWELI AU JANJA YAO...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Kama upo kwenye mahusiano na unaona kuwa haya mahusiano yenu hayana future ni njia ipo iliyobora ya kumweleza kwa mahusiano yafike kikomo? 1.Kumwambia sababu wazi wazi hata kama utamuumiza moyo...
0 Reactions
15 Replies
2K Views
habari wana MMU.... toka nimeondokewa na nimpendae mwez wa nne mwaka jana bado cjapata cha kufanya ili mawazo yapotee kabisa.. jamani naomba mnisaidie mbinu za kusahau japo kidogo 2 coz naona...
0 Reactions
35 Replies
3K Views
Wengi tushasikia habari ya watu (mwanamke na mwanaume) kung'ang'aniana wakigegedana - especially ikitokea mwanamke ni mke wa mtu anaetoka nje ya ndoa. Hadithi tunazosikia ni kuwa mume kamtega...
0 Reactions
11 Replies
5K Views
Kujenga nyumba inawezekana kama tutazingatia hili.
0 Reactions
11 Replies
2K Views
Huu ndio ukweli mwizi hufulai kuiba kuliko atavyoibiwa. Tena mwizi huyo huyo hujisifu mbele za watu Kwa kugegeda wake za watu . Lakini Mungu wa rehema huumpa jaribio dogo la meseji moja ya...
0 Reactions
7 Replies
2K Views
Siku hizi mapenzi yamekuwa artificial sana ila zamani mtu anakupenda kuanzia wewe na familia japo mpo masikini walikuwa hawajali, ila kwasasa mtu anaangalia unanini kwanza!
9 Reactions
85 Replies
11K Views
Dokta Bianca P. Acevedo kutoka Chuo Kikuu cha California, Santa Barbara anasema, wanawake huchangia kwa kiasi kikubwa tatizo la upungufu wa nguvu za kiume, jambo ambalo nami nalithibitisha kwa...
0 Reactions
10 Replies
3K Views
Hii imetokea asubuhi nikiwa naelekea kazini, Kidume mmoja akiwa na mpenzi/mke wake wamepanda gari wakabahati kupata viti vyenye siti za watu wawili wawili. Walipoingia kila mmoja alitaka akae...
0 Reactions
16 Replies
2K Views
Kijana wa miaka 23, amuoa kikongwe ( a.k.a binti) wa Miaka wa miaka 82. Nasikia hii tebia inazidi kwa vijana wa kiume na wakike kwenda ulaya na kuolewa au kuoa vikongwe ili na wao waambiwe...
0 Reactions
46 Replies
5K Views
Huu umekuwa mtihani mkubwa sana kwa wanaume, wavua samaki wao wanaweka boya, akiona linazama tu anajua tayari samaki keshakula ndoano basi kazi yake ni kuvuta tu. Mwanaume unaweza kurusha ndoano...
1 Reactions
85 Replies
11K Views
Dunia ndivyo ilivyo. Lakini majibu pia yapo. Mm nataka kuoa bila kubagua hali ya mwanamke mwenyewe. Historia yako ya zamani si kitu kwangu iwapo umeamua kusonga mbele na kupambana kwa ustadi na...
0 Reactions
30 Replies
4K Views
Habar wadu, Npo kwenye bas nasafiri, nyuma yang wamekaaaa mtu na mpenz wake mara simu inapigwa kweny simu ya mwanamke na mwanaume anachukua cm ya mwanamke na kuipokea, hallow ww nan? Upand wa...
2 Reactions
40 Replies
5K Views
mm ni mvulana nina mchumba wangu huu ni mwaka wa 4 yy ni mfanyakaz serikalini mm nimehitimu diploma ya ualimu 2013 may nimefaulu na nasubilia post. mwaka jana mwez january alipata safari kikazi...
0 Reactions
65 Replies
49K Views
Uko na mkeo na mama mkwe wako kwenye gari yako aina ya Vitz, ghafla inawapita Range Rover Sport 2012 kwa speed. Mama mkwe wako anajikuta karopoka, "MWANAUME HUYO KAPITA". Je, kama ni wewe...
2 Reactions
42 Replies
5K Views
Nina mpenzi wangu sema tuko mikoa tofauti. Tulpanga tukutanane baada ya kutoonana mda mrefu kdogo .Alisistiza kwamba hatutafanya chochote ila niili tuongee tu. Tulvyokutana nikamshawishi hadi...
0 Reactions
32 Replies
3K Views
Za jiona wana MMU. Labda nianze hivi. Kuna dawa wanatumia baadhi ya wanawake za kutolea mimba pindi wanapojigundua wana ujauzito. Hawa wanawake wanakuwa hawana hofu ya Mungu kwani kitendo kama...
0 Reactions
23 Replies
4K Views
Natakaniowe msichana nimakonde mwenye kujua Tabia Zao pls anijuze kabla cjachukua mahamuzi ya kufanya hivo nategemea toka kwenu ndugu zangu
0 Reactions
42 Replies
31K Views
Maisha ya famili pamoja na mitafaruku ya hapa na pale kuna raha Wiki hii kumekuwepo na matukio wa wizi wa watoto kwa baadhi ya wasichana kujifanya wasamaria wema kusaidia kuwabebea mmoja ndani...
0 Reactions
32 Replies
4K Views
Mwenza wa kunifaa, Anayejitambua, Anayejua wajibu wake, Mwenye kauli nzuri,mapenzi ya kweli,tunayeendana(compatible), Anayependa watoto, Mwenye kunivutia, Anayenijali. Nitampata wapi...
0 Reactions
15 Replies
2K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…