Mwananjengo
JF-Expert Member
- Mar 7, 2012
- 317
- 101
Nina mpenzi wangu sema tuko mikoa tofauti.
Tulpanga tukutanane baada ya kutoonana mda mrefu kdogo
.Alisistiza kwamba hatutafanya chochote ila niili tuongee tu.
Tulvyokutana nikamshawishi hadi tukafanya na baadae ndo akashtuka alikuwa kwenye siku mbaya(siku ya 11).Anavyodai atakuwa ameshka mimba.
Sasa anasema anataka akaitoe kama kapata kwani anasoma bado (college) na anaogopa wazazi watasemaje.
Mimi sitaki aitoe kama atakuwa nayo ila anaonekana haelewi na nina wazo akiitoa namuacha. Wandugu hebu nipeni ushauri hapo nifanyeje.