Nitampata wapi mwanamke kama huyu?

Nitampata wapi mwanamke kama huyu?

Madewa

JF-Expert Member
Joined
Mar 17, 2012
Posts
467
Reaction score
192
Mwenza wa kunifaa,

Anayejitambua,

Anayejua wajibu wake,

Mwenye kauli nzuri,mapenzi ya kweli,tunayeendana(compatible),

Anayependa watoto,

Mwenye kunivutia,

Anayenijali.

Nitampata wapi mwanamke mwenye sifa hizo?

Nitakuwa muaminifu kwake,siku zote.
 
Shida moja ya vijana wa siku hizi wanataka wenza ambao tayari wameshawaumba vichwani mwao, kwahiyo inapotokea tofauti mikwaruzano huanza na hatimaye mahusiano kuvunjika
kumbukeni hili enyi vijana mwanamke ni kama computer mpya, program utakazoweka ndio hizo utakazotumia usifikiri kuna kitu kitajiweka chenyewe labda virus, nayo ukiiacha huharibu computer yako. formular ya computer ni gabbage in gabbage out, kwahiyo mkeo atakuwa mwema au mbaya kutokana na wewe mwenyewe utakavyomtengeneza
lakini vilevile huoi supermarket kaka kwamba utapata kila kitu kwa mkeo, yeye si malaika naye ni binadamu kama wewe naye si mkamilifu kama wewe kwahiyo inabidi wote wawili mtengeneze middleway itakayokubalika na nyie wote wawili. kwa njia hii mtaishi maisha ya amani na furaha tele
 
Kama hapa hajakuelewa atakuwa na matatizo ya akili
 
Mbona kama unapingana na kauli ya Mungu ya kwamba humpa mwanaume yule mwanamke wa kufanana naye???
 
Shida moja ya vijana wa siku hizi wanataka wenza ambao tayari wameshawaumba vichwani mwao, kwahiyo inapotokea tofauti mikwaruzano huanza na hatimaye mahusiano kuvunjika
kumbukeni hili enyi vijana mwanamke ni kama computer mpya, program utakazoweka ndio hizo utakazotumia usifikiri kuna kitu kitajiweka chenyewe labda virus, nayo ukiiacha huharibu computer yako. formular ya computer ni gabbage in gabbage out, kwahiyo mkeo atakuwa mwema au mbaya kutokana na wewe mwenyewe utakavyomtengeneza
lakini vilevile huoi supermarket kaka kwamba utapata kila kitu kwa mkeo, yeye si malaika naye ni binadamu kama wewe naye si mkamilifu kama wewe kwahiyo inabidi wote wawili mtengeneze middleway itakayokubalika na nyie wote wawili. kwa njia hii mtaishi maisha ya amani na furaha tele

Good advise kumbe saa nyingine unakuwaga na akili ee
Umekosea kitu kimoja tu kutuita computer aarrghhh
 
mawili 1. Uende sayari ya mars au 2. Umchonge wakwako
 
Mh. Ukisikia unrealistic expectations ndo hizi.
 
shida moja ya vijana wa siku hizi wanataka wenza ambao tayari wameshawaumba vichwani mwao, kwahiyo inapotokea tofauti mikwaruzano huanza na hatimaye mahusiano kuvunjika
kumbukeni hili enyi vijana mwanamke ni kama computer mpya, program utakazoweka ndio hizo utakazotumia usifikiri kuna kitu kitajiweka chenyewe labda virus, nayo ukiiacha huharibu computer yako. Formular ya computer ni gabbage in gabbage out, kwahiyo mkeo atakuwa mwema au mbaya kutokana na wewe mwenyewe utakavyomtengeneza
lakini vilevile huoi supermarket kaka kwamba utapata kila kitu kwa mkeo, yeye si malaika naye ni binadamu kama wewe naye si mkamilifu kama wewe kwahiyo inabidi wote wawili mtengeneze middleway itakayokubalika na nyie wote wawili. Kwa njia hii mtaishi maisha ya amani na furaha tele

nakuunga mkono kwa % kubwa, mke mwema hashushwi from heaven bt ni ww utakavyomprogram & ku-mmanage!

Neva wait for already made, perfect wife!
Utakaa sana, nadharia hyo itakupotezeeni mda!
 
Mwenza wa kunifaa,anayejitambua,anayejua wajibu wake,mwenye kauli nzuri,mapenzi ya kweli,tunayeendana(compatible),anayependa watoto,mwenye kunivutia,anayenijali...nitampata wapi mwanamke mwenye sifa hizo?
Nitakuwa muaminifu kwake,siku zote.
nenda ofisini utawakuta wanaotaka kuolewa wapo wengi tu hadi wanamwagiki. utafutaji mwema..
 
Je na wewe una sifa hizo???ARE YOU A MATURE AND RIGHT MAN?au unaangalia za mwanamke tu??
 
Its not too late for you.

Hakuna binadamu aliyekamilika, sisi sote, wanaume kwa wanawake tunatenda makosa.

Jaribu kutafuta mwenza ambae atakuwa creative, mwenye uwezo wa kutengeneza arguement zenye logic. Hata kama umetoa command, lakin kama ameona kuna weakness katika judgement zako na akaweza kuongea fact, basi msikilizane kwa pamoja.

Otherwise unataka kuwa dictator kwa mwanamke unaemtaka
hapa!

Have good in your way !

Mwenza wa kunifaa,anayejitambua,anayejua wajibu wake,mwenye kauli nzuri,mapenzi ya kweli,tunayeendana(compatible),anayependa watoto,mwenye kunivutia,anayenijali...nitampata wapi mwanamke mwenye sifa hizo?
Nitakuwa muaminifu kwake,siku zote.
 
Shida moja ya vijana wa siku hizi wanataka wenza ambao tayari wameshawaumba vichwani mwao, kwahiyo inapotokea tofauti mikwaruzano huanza na hatimaye mahusiano kuvunjika
kumbukeni hili enyi vijana mwanamke ni kama computer mpya, program utakazoweka ndio hizo utakazotumia usifikiri kuna kitu kitajiweka chenyewe labda virus, nayo ukiiacha huharibu computer yako. formular ya computer ni gabbage in gabbage out, kwahiyo mkeo atakuwa mwema au mbaya kutokana na wewe mwenyewe utakavyomtengeneza
lakini vilevile huoi supermarket kaka kwamba utapata kila kitu kwa mkeo, yeye si malaika naye ni binadamu kama wewe naye si mkamilifu kama wewe kwahiyo inabidi wote wawili mtengeneze middleway itakayokubalika na nyie wote wawili. kwa njia hii mtaishi maisha ya amani na furaha tele

Believe me,kila mwanadamu kabla ya kuingia ktk mahusiano na mtu fulani,huwa anakuwa na picha fulani na vigezo fulani vya mwenza anayemtaka...inapotokea amekutana na mtu wa vigezo vyake,bac anamkubali...jiulize swali,kwa nn humtongozi kichaa?
Nadhani nimeeleweka...ni vema uwe na mtu ambaye anameet expectations zako!
 
nakuunga mkono kwa % kubwa, mke mwema hashushwi from heaven bt ni ww utakavyomprogram & ku-mmanage!

Neva wait for already made, perfect wife!
Utakaa sana, nadharia hyo itakupotezeeni mda!

Suala hapo sio mke mwema...suala ni mwenza wa kunifaa,compatible...umeshawahi kusikia hata kwenye jamii kuwa fulani amepata mke au mume mzuri sema hajatulia yeye?
Hawa ni kuwa hawaendani(not compatible)
by de way,sio kila mwanamke au mwanaume anaweza kuwa mama au baba,wengine ni wazazi tu...
 
Back
Top Bottom