habari wana MMU....
toka nimeondokewa na nimpendae mwez wa nne mwaka jana bado cjapata cha kufanya ili mawazo yapotee kabisa.. jamani naomba mnisaidie mbinu za kusahau japo kidogo 2 coz naona wait inazidi kupotea tu.... help me plz
toka nimeondokewa na nimpendae mwez wa nne mwaka jana
Pole shost
hujalala........?
Mwarobabaini wa tatizo lako ni wewe mwenyewe kuto kukubali matokeo bado unahisi bado kuna nafasi ya kuwa naye kitu ambacho hakiwezekani,ruhusu moyo wako kupata mwanaume mwingine ambaye atakuwa faraja yako I hope utasahau tuhabari wana MMU....
toka nimeondokewa na nimpendae mwez wa nne mwaka jana bado cjapata cha kufanya ili mawazo yapotee kabisa.. jamani naomba mnisaidie mbinu za kusahau japo kidogo 2 coz naona wait inazidi kupotea tu.... help me plz
Aliondoka kwenda wapi?
Nipo job so unajua tena mambo ya wizara ya afya
Wizara ya afya kitengo gani? Usikute nakulipa overtime na unacheza tu hapa jeiefu!
Mwezi wa 4 mwaka Jana hadi leo hii............
My dear You can get over a lost love, but only if you're willing.!!!
He's moved on and happier now MAY BE, give yourself the permission to do the same!!
Wizara ya afya kitengo gani? Usikute nakulipa overtime na unacheza tu hapa jeiefu!