MZIMU
JF-Expert Member
- Apr 29, 2011
- 4,058
- 1,377
Mtu chake apendacho,hakina hila machoni,huridhika kuwa nacho japo hakina thamani,
mwenye mapenzi haoni ingawa macho anayo.
Aaaah! Bitchuka huyo. sujui mwaka gani huo?
Mtu chake apendacho,hakina hila machoni,huridhika kuwa nacho japo hakina thamani,
mwenye mapenzi haoni ingawa macho anayo.
Kweli hazina adabu....manake lazima ujitoe ufahamu ili kupambana nazo.Duh tabu hizi...!