Unamyamazia tuu kimnyaa,jua kua alikosa lakusema na ukiwa kama mwanamme mambo mengine unapuuzia hasa maneno yakipuuzi kama haya na aleo sema ni mkwe,kimnya chako kitamfanya ajiulize yeye na mwanawe kama waungwana...Uko na mkeo na mama mkwe wako kwenye gari yako aina ya Vitz, ghafla inawapita Range Rover Sport 2012 kwa speed. Mama mkwe wako anajikuta karopoka, "MWANAUME HUYO KAPITA".
Je, kama ni wewe ungefanyaje?
NB: Nimecopy somewhere!
Unamyamazia tuu kimnyaa,jua kua alikosa lakusema na ukiwa kama mwanamme mambo mengine unapuuzia hasa maneno yakipuuzi kama haya na aleo sema ni mkwe,kimnya chako kitamfanya ajiulize yeye na mwanawe kama waungwana...
Unamyamazia tuu kimnyaa,jua kua alikosa lakusema na ukiwa kama mwanamme mambo mengine unapuuzia hasa maneno yakipuuzi kama haya na aleo sema ni mkwe,kimnya chako kitamfanya ajiulize yeye na mwanawe kama waungwana...
Hata angekua mke unamnyamazia tuu ajifikirie kua nimpumbavu,yanini kujibishana na kelele tele,yeye akikushinda kusema wewe mshinde kunyamaza,kuna mengi yakufanya na yakufikia kupata pesa unapoteza mda wako na mtu kama huyo..Kwa kuwa aliyeropoka ni mama mkwe sio ishu angeongea mke hapo ndo ingebid ni pull over ili tueleweshane.
kwani kipimo cha kua mwanaume haswa ni Range??
Uko na mkeo na mama mkwe wako kwenye gari yako aina ya Vitz, ghafla inawapita Range Rover Sport 2012 kwa speed.
Mama mkwe wako anajikuta karopoka, "MWANAUME HUYO KAPITA".
Je, kama ni wewe ungefanyaje?
NB: Nimecopy somewhere!
Umeuliza swali zuri sana Mkuu?
Kipimo cha uwanaume ninavyojua Mimi ni kuwa rijali kwanza maana kuwa na range halafu sio rijali wengi tumeshuhudia visa na mikasa ya nyumba.
Mama Mkwe apuuzwe tu maana hao wenye Range hawakumpakia kapanda vitz nadhani hakuwa na busara ana tuseme aliteleza ulimi
Mkuu Tangopori umekosea sana kuleta hoja bila picha naona member wengine wameokoa jahazi kwa picha nzuri sana.
Nakimbiza hiyo range rover nikiikuta naisimamisha then namshusha mama mkwe namwambia dereva...mgeni wako huyoooooo.. then nasepa